Wanamchafua Mwendazake wakiamini kuwa kwa kufanya hivyo wao watabaki salama

Popacomputers

Member
Jan 29, 2021
98
207
Kwema wanachemba.

Tumeshuhudia tangu kuondoka kwa mwendazake kumekuwa na sauti nyingi sana zikipazwa kwa nguvu sana tena na wengine waliokuwa wasaidizi wake wa karibu sana kujaribu kutuaminisha kuwa mwendazake alikuwa mtu hovyo sana !!!! Wanachosahau ni kuwa na wao walikuwa watu muhimu sana tena viongozi wa mihimili muhimu katika katiba yetu na hawakutimiza wajibu wao ipasavyo kuzuia yasifanyike yaliyofanyika.

SAMIA SULUHU HASSAN, Rais wetu wa sasa, alikuwa msaidizi namba moja wa Mwendazake, kama mahakamani ni mtuhumiwa namba 2 kwenye kesi, anawajibika kwa haya yaliyotokea. Kutudanganya kuwa hakuwa na uwezo wa kuzuia yasitokee ni uzandiki. Kama alijaribu kuzuia na akashindwa kuchukua hatua gani? Kuendelea kubaki madarakani ilikuwa ni alama kuwa alikubaliana au anaunga mkono yaliyokuwa yanafanyika.

JOB NDUGAI ni kiongozi wa bunge, muhimili muhimu kwenye katiba yetu,ambalo una jukumu la kuisimamia serikali. Aliwajibika vipi kama kiongozi na bungekuisimamia serikali ili kuyamulika haya yaliyotokea ? Au wakati ule aliyaona ni sawa na sasa Kuna wingu limeondoka machoni anaona hayakuwa sawa? Wabunge waliokuwepo walitimiza vipi wajibu wao katika kuyazuia haya wanayotuaminisha sasa kuwa yaliyokuwa ili yasitendeke as kwa mtazamo wao wa sasaR hayakustahili kutokea coz ni ufisadi?

Wako wengi wa kuwataja lakini naamini tunawatambua, waje sasa hadharani watuambie ni kwa nini walishiriki wizi ule au kwa nini hawakuchukua hatua kuzuia?

Kinachosikitisha ni kwamba hata ambao wangetakiwa kutumia fursa hii kujiimarisha nao wameingia kwenye praise and worship team kushangilia huyu aliyepokea kijiti wakiongozwa zaidi na chuki zao za dhahiri kwa mwendazake na kusahau jukumu lao la msingi. Yaani muda huu wangekuwa wamekomaa na hoja kuwa kama ufisadi Huu ULIFANYIKA wakati hawa waliobaki akiwemo rais aliyepo madarakani wakiwa ndio wasaidizi wakuu wa Mwendazake na wakaruhusu haya yatokee basi na wao awajibike ingekuwaje?

Unakwenda kwa wananchi kuwaambia kuwa kama haya yaliyokuwa na CCM kama taasisi wakashindwa kuyazuia basi ni tatizo la taasisi na sio mtu, kwamba tuna uhakika gani kuwa hayatatokea kama haya kwa mwingine ikiwa ni kweli kwamba mtu anaweza kuizidi nguvu hiyo taasisi?

Wakaeleza na mengine mengi kwa kadri wawezavyo kuvutia upande wao, Wasingefanikiwa? Lakini kwa sababu wameruhusu chuki zao dhidi ya JPM ziwatawale na wao wamejiunga kwenye praise and worship team!

Hawa Ndio wanasiasa wetu, ambao kwao maisha yao na chuki zao ni muhimu kuliko TANZANIA.
 
SAMIA SULUHU HASSAN, rais wetu wa sasa, alikuwa msaidizi namba moja wa Mwendazake, kama mahakamani ni mtuhumiwa namba 2 kwenye kesi, anawajibika kwa haya yaliyotokea. Kutudanganya kuwa hakuwa na uwezo wa kuzuia yasitokee ni uzandiki.... Kama alijaribu kuzuia na akashindwa kuchukua hatua gani ? Kuendelea kubaki madarakani ilikuwa ni alama kuwa alikubaliana au anaunga mkono yaliyokuwa yanafanyika.
JOB NDUGAI ni kiongozi wa bunge, muhimili muhimu kwenye katiba yetu,ambalo una jukumu la kuisimamia serikali. Aliwajibika vipi kama kiongozi na bungekuisimamia serikali ili kuyamulika haya yaliyotokea?
Kipande hiki cha mada yako ndicho kiini cha ulilo kusudia kuweka wazi UNAFIKI wao.

Hapa ndio napata wazo la kuwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA.

Lazima Katiba iweke wazi pale Raisi napokiuka Vifungu vyake, wananchi, Bunge, Mahakama , afanye nini.

Ni wakati muafaka sasa kuondosha Kinga zote kwa Viongozi wakuu wa Dola kwa vile wao wamejifanya wako juu ya katiba.

Katiba tuliyo nayo imempa mamlaka makubwa sana RAISI. Kiasi hata kuweza kulivunja BUNGE akiona linamzingua.

Na kutengua teuzi mbali mbali za wanaokwenda kinyume na msimamowake.
kwa katibayetu hii raisi hakosolewi, na ukimkosowa unakwenda na maji, ama unafukuzwa au unajiuzulu au unapotezwa na wasiojulikana au unaibukia Baharini kwenye kipolo, au unawekwa jela kwa uhujumu uchumi au ugaidi.

Katiba Mpya ije haraka iondowe ombwe hili la kiutawala, kinyume chake atakuja menda wazimu atatucharaza bakora hadharani na itaonekana ni sawa tuu
 
Mikataba mibovu ya madini nyingi zimepitishwa awamu ya tatu (Mkapa) na awamu ya nne (Kikwete). Na kipindi hicho chote marehemu Maghufuli alikuwa kwenye Baraza la mawaziri. Na mikataba & miswaada ilipita kwanza kwenye mabaraza hayo ya mawaziri. Je uliwahi kumsikia Maghufuli akipishana kauli na hao waliokuwa mabosi wake?!

Ukipishana nao maana yake wewe ujiuzulu au ufukuzwe . Mifano ni mingi eg. Aboud Jumbe, Augustine Mrema, Oscar Kambona etc. Na kwa njia hiyo ndoto yako ya kuongoza nchi inakuwa imezimika. Hiki ndicho kilichosababisha Maghufuli na Samia wasiwapinge wakubwa wao na mwishowe wakawa viongozi wa taifa.

Odhis *
 
Mtoa hoja acha unafiki na unafiki wa ninyi middle class ndio umetupotezea nchi na welldone kwa wachingiaji hapo juu wamekujibu vema,acha acha unafiki ni sumu kwenye maisha.
 
Kikulacho ki nguoni mwako.
Sasa sifa zote kwa samia.
As if hawakushiriki nae.
Unafiki huu huu unaofanywa juu ya magufuli akiwa marehemu.
Baada ya 2025 samia jiandae hutokuwa na thamani.
Kwa sasa wanatetea matumbo yao.

Kweli hakuna watu wanafiki kama wanasiasa.
Na bado hamjajua nini maana ya unafiki ,subiri 2025
Nb: yale mazuri aloyafanya magufuli hayafutiki leo.

Rip jpm.
 
SAMIA SULUHU HASSAN, rais wetu wa sasa, alikuwa msaidizi namba moja wa Mwendazake, kama mahakamani ni mtuhumiwa namba 2 kwenye kesi, anawajibika kwa haya yaliyotokea. Kutudanganya kuwa hakuwa na uwezo wa kuzuia yasitokee ni uzandiki.... Kama alijaribu kuzuia na akashindwa kuchukua hatua gani ? Kuendelea kubaki madarakani ilikuwa ni alama kuwa alikubaliana au anaunga mkono yaliyokuwa yanafanyika.

hiki ndicho ulichokusudia,ni nani ambaye alikuwa anaweza kumpinga yule mkono wa chuma?
 
Kikulacho ki nguoni mwako.
Sasa sifa zote kwa samia.
As if hawakushiriki nae.
Unafiki huu huu unaofanywa juu ya magufuli akiwa marehemu.
Baada ya 2025 samia jiandae hutokuwa na thamani.
Kwa sasa wanatetea matumbo yao.

Kweli hakuna watu wanafiki kama wanasiasa.
Na bado hamjajua nini maana ya unafiki ,subiri 2025
Nb: yale mazuri aloyafanya magufuli hayafutiki leo.

Rip jpm.
Sahihi kabisa
 
kitu cha musingi nilicho gundua kunaunafiki mukubwa selikalini naona hata kiongozi mkuuu flani amekua kmya haongeikabisa mpaka watu wanafikia kusema kwamba hakufanya kit chochote vijana wengi walikua kwenye wimbi la matumizi ya ponbe na madawa ya kurevya
 
Hili taifa lina idadi ya watu wengi zaidi ya wasiojielewa, wanayumbishwa na upepo kama majani ya miti, misimamo yao haitofauti na Ndugai wanayemlaumu kila siku, kwangu wote wale wale tu.
 
Mikataba mibovu ya madini nyingi zimepitishwa awamu ya tatu (Mkapa) na awamu ya nne (Kikwete). Na kipindi hicho chote marehemu Maghufuli alikuwa kwenye Baraza la mawaziri. Na mikataba & miswaada ilipita kwanza kwenye mabaraza hayo ya mawaziri. Je uliwahi kumsikia Maghufuli akipishana kauli na hao waliokuwa mabosi wake?!

Ukipishana nao maana yake wewe ujiuzulu au ufukuzwe . Mifano ni mingi eg. Aboud Jumbe, Augustine Mrema, Oscar Kambona etc. Na kwa njia hiyo ndoto yako ya kuongoza nchi inakuwa imezimika. Hiki ndicho kilichosababisha Maghufuli na Samia wasiwapinge wakubwa wao na mwishowe wakawa viongozi wa taifa.

Odhis *
Mikataba ya madini hayakuwa yanapita kwenye baraza ya mawaziri. Mikataba mingi ilikuwa inasainiwa kinyemela. Waliyo mazingira hayo wanaelewa vema...hasa ule wa Buzwagi tunafahamu ulisainiwa wapi. Kalamagi na Ngeleja wanaelewa mchezo wote.

Haya Barrick, mara ABG , mara Acacia ilikuwa too much wizi. Sasa Twiga ndo tunakula nao sahani moja….
 
Kwema wanachemba.

Tumeshuhudia tangu kuondoka kwa mwendazake kumekuwa na sauti nyingi sana zikipazwa kwa nguvu sana tena na wengine waliokuwa wasaidizi wake wa karibu sana kujaribu kutuaminisha kuwa mwendazake alikuwa mtu hovyo sana !!!! Wanachosahau ni kuwa na wao walikuwa watu muhimu sana tena viongozi wa mihimili muhimu katika katiba yetu na hawakutimiza wajibu wao ipasavyo kuzuia yasifanyike yaliyofanyika.

SAMIA SULUHU HASSAN, Rais wetu wa sasa, alikuwa msaidizi namba moja wa Mwendazake, kama mahakamani ni mtuhumiwa namba 2 kwenye kesi, anawajibika kwa haya yaliyotokea. Kutudanganya kuwa hakuwa na uwezo wa kuzuia yasitokee ni uzandiki. Kama alijaribu kuzuia na akashindwa kuchukua hatua gani? Kuendelea kubaki madarakani ilikuwa ni alama kuwa alikubaliana au anaunga mkono yaliyokuwa yanafanyika.

JOB NDUGAI ni kiongozi wa bunge, muhimili muhimu kwenye katiba yetu,ambalo una jukumu la kuisimamia serikali. Aliwajibika vipi kama kiongozi na bungekuisimamia serikali ili kuyamulika haya yaliyotokea ? Au wakati ule aliyaona ni sawa na sasa Kuna wingu limeondoka machoni anaona hayakuwa sawa? Wabunge waliokuwepo walitimiza vipi wajibu wao katika kuyazuia haya wanayotuaminisha sasa kuwa yaliyokuwa ili yasitendeke as kwa mtazamo wao wa sasaR hayakustahili kutokea coz ni ufisadi?

Wako wengi wa kuwataja lakini naamini tunawatambua, waje sasa hadharani watuambie ni kwa nini walishiriki wizi ule au kwa nini hawakuchukua hatua kuzuia?

Kinachosikitisha ni kwamba hata ambao wangetakiwa kutumia fursa hii kujiimarisha nao wameingia kwenye praise and worship team kushangilia huyu aliyepokea kijiti wakiongozwa zaidi na chuki zao za dhahiri kwa mwendazake na kusahau jukumu lao la msingi. Yaani muda huu wangekuwa wamekomaa na hoja kuwa kama ufisadi Huu ULIFANYIKA wakati hawa waliobaki akiwemo rais aliyepo madarakani wakiwa ndio wasaidizi wakuu wa Mwendazake na wakaruhusu haya yatokee basi na wao awajibike ingekuwaje?

Unakwenda kwa wananchi kuwaambia kuwa kama haya yaliyokuwa na CCM kama taasisi wakashindwa kuyazuia basi ni tatizo la taasisi na sio mtu, kwamba tuna uhakika gani kuwa hayatatokea kama haya kwa mwingine ikiwa ni kweli kwamba mtu anaweza kuizidi nguvu hiyo taasisi?

Wakaeleza na mengine mengi kwa kadri wawezavyo kuvutia upande wao, Wasingefanikiwa? Lakini kwa sababu wameruhusu chuki zao dhidi ya JPM ziwatawale na wao wamejiunga kwenye praise and worship team!

Hawa Ndio wanasiasa wetu, ambao kwao maisha yao na chuki zao ni muhimu kuliko TANZANIA.
Kwa kweli aende zake tu!
 
84806afeb5e20a1dd2374e95b62a5c2b.gif
 
Kikulacho ki nguoni mwako.
Sasa sifa zote kwa samia.
As if hawakushiriki nae.
Unafiki huu huu unaofanywa juu ya magufuli akiwa marehemu.
Baada ya 2025 samia jiandae hutokuwa na thamani.
Kwa sasa wanatetea matumbo yao.

Kweli hakuna watu wanafiki kama wanasiasa.
Na bado hamjajua nini maana ya unafiki ,subiri 2025
Nb: yale mazuri aloyafanya magufuli hayafutiki leo.

Rip jpm.
Miss Mataga, Hao wanafiki waliomgeuka mwendazake unaowananga hapa ni wana chadema au wana ccm?

Sasa nadhani tunaanza kuelewana. Kwamba yale mapambio mliyokuwa mnamuimbia Jiwe (wewe mwenyewe included) ilikuwa ni unafiki. Sasa hivi mmeshaanza kumkana
 
Kikulacho ki nguoni mwako.
Sasa sifa zote kwa samia.
As if hawakushiriki nae.
Unafiki huu huu unaofanywa juu ya magufuli akiwa marehemu.
Baada ya 2025 samia jiandae hutokuwa na thamani.
Kwa sasa wanatetea matumbo yao.

Kweli hakuna watu wanafiki kama wanasiasa.
Na bado hamjajua nini maana ya unafiki ,subiri 2025
Nb: yale mazuri aloyafanya magufuli hayafutiki leo.

Rip jpm.
Wanawake hampendani kabisa.
 
Kwema wanachemba.

Tumeshuhudia tangu kuondoka kwa mwendazake kumekuwa na sauti nyingi sana zikipazwa kwa nguvu sana tena na wengine waliokuwa wasaidizi wake wa karibu sana kujaribu kutuaminisha kuwa mwendazake alikuwa mtu hovyo sana !!!! Wanachosahau ni kuwa na wao walikuwa watu muhimu sana tena viongozi wa mihimili muhimu katika katiba yetu na hawakutimiza wajibu wao ipasavyo kuzuia yasifanyike yaliyofanyika.

SAMIA SULUHU HASSAN, Rais wetu wa sasa, alikuwa msaidizi namba moja wa Mwendazake, kama mahakamani ni mtuhumiwa namba 2 kwenye kesi, anawajibika kwa haya yaliyotokea. Kutudanganya kuwa hakuwa na uwezo wa kuzuia yasitokee ni uzandiki. Kama alijaribu kuzuia na akashindwa kuchukua hatua gani? Kuendelea kubaki madarakani ilikuwa ni alama kuwa alikubaliana au anaunga mkono yaliyokuwa yanafanyika.

JOB NDUGAI ni kiongozi wa bunge, muhimili muhimu kwenye katiba yetu,ambalo una jukumu la kuisimamia serikali. Aliwajibika vipi kama kiongozi na bungekuisimamia serikali ili kuyamulika haya yaliyotokea ? Au wakati ule aliyaona ni sawa na sasa Kuna wingu limeondoka machoni anaona hayakuwa sawa? Wabunge waliokuwepo walitimiza vipi wajibu wao katika kuyazuia haya wanayotuaminisha sasa kuwa yaliyokuwa ili yasitendeke as kwa mtazamo wao wa sasaR hayakustahili kutokea coz ni ufisadi?

Wako wengi wa kuwataja lakini naamini tunawatambua, waje sasa hadharani watuambie ni kwa nini walishiriki wizi ule au kwa nini hawakuchukua hatua kuzuia?

Kinachosikitisha ni kwamba hata ambao wangetakiwa kutumia fursa hii kujiimarisha nao wameingia kwenye praise and worship team kushangilia huyu aliyepokea kijiti wakiongozwa zaidi na chuki zao za dhahiri kwa mwendazake na kusahau jukumu lao la msingi. Yaani muda huu wangekuwa wamekomaa na hoja kuwa kama ufisadi Huu ULIFANYIKA wakati hawa waliobaki akiwemo rais aliyepo madarakani wakiwa ndio wasaidizi wakuu wa Mwendazake na wakaruhusu haya yatokee basi na wao awajibike ingekuwaje?

Unakwenda kwa wananchi kuwaambia kuwa kama haya yaliyokuwa na CCM kama taasisi wakashindwa kuyazuia basi ni tatizo la taasisi na sio mtu, kwamba tuna uhakika gani kuwa hayatatokea kama haya kwa mwingine ikiwa ni kweli kwamba mtu anaweza kuizidi nguvu hiyo taasisi?

Wakaeleza na mengine mengi kwa kadri wawezavyo kuvutia upande wao, Wasingefanikiwa? Lakini kwa sababu wameruhusu chuki zao dhidi ya JPM ziwatawale na wao wamejiunga kwenye praise and worship team!

Hawa Ndio wanasiasa wetu, ambao kwao maisha yao na chuki zao ni muhimu kuliko TANZANIA.

Wanamchafua kivipi wakati alikuwa mpigaji?
 
Back
Top Bottom