Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi.
Yafanyike maandalizi mapema na washirika...
June 31, 2007.. Rais wa Zamani wa Libya Hayati Moummar Gaddafi akiwa amesindikizwa na Walinzi wake wa kike Waaminifu alihutubia ktk Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) jijini Accra- Ghana huku akiwa...
Kumekua na upotoshaji wa taarifa iliyotolewa na Mhe Ummy Mwalimu kuhusu wahasibu CPA (T) wanaotakiwa kufikishwa kwenye bodi ya wahasibu.
Taarifa sahihi ni hii ifuatayo:
‘Wataalam wa Fedha wenye...
Tunalazimika kueleza jinsi TRA wanavyofunga biashara za wafanyabiashara.
TRA wamepangiwa malengo ya ukusanyaji fedha, kinyume cha hivyo mtu anafukuzwa kazi na ajira inakoma.
TRA kama ilivyo ada...
Na Thadei Ole Mushi.
Someni Ripoti ya CAG, Kuna madudu mengi mno mengine yanatia kinyaa kabisa. Ukurasa wa 70 wa Ripoti hiyo unazungumzia issue ya Kucheleweshwa ujenzi wa kiwanda Cha Pamba kule...
Anaandika Pole Pole katika Ukurasa wake wa Twitter
"Hii ni ndege ya Kenya Airways iko pale Uwanja wa Ndege DSM, nimewaza tu kwa mawinchi hayo na namna wataalam wanashughulika na injini ya ndege...
Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?
Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa...
Marehemu haongelewi vibaya karabia katika mila zote za kiafrika.
Lakini marehemu kama alitenda mabaya bila kuyasahihisha kabla ya kufariki, katika mila zetu, roho hake hailali kwa amani...
Wakuu na wadogo wa JF.
Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.
Sina kumbukumbu kamili...
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye (CCM), amesema hali ya wakulima wa Korosho hivi sasa ni mbaya licha ya nia njema ya Rais kutaka wakulima wa zao hilo kulipwa, na badala yake zoezi hilo limetawaliwa na...
Serikali imekabidhi ndege yake ya Fokker 50 kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ili ianze kubeba abiria.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Aprili 01 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
Kuna suala ili la Professor Asad yaan C.A.G
Suala ili ni tofauti na Mengine yaliyotikisa hapo nyuma lakin lina nature au uhalisia kama hayo yaliyopita,
TUNA RAIS WA AINA GANI?
Tuanze na hapa...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Deusdedit Kakoko amesema wawekezaji wa Bandari ya Bagamoyo walitaka kupewa hati ya miaka 99, jambo ambalo haliwezekani.
Amesema serikali ilikubali...
Naona kila nchi ikiwa busy kuwapa haki watu wake , Kenya, Nigeria Ghana, South Afrika wote walio kuwa wanaishi nje ya nchi zao kulikuwa na utaratibu maalumu wa kuwaruhusu kupiga kura wakati wa...
Humphrey Polepole ambaye ndiye aliyekuwa ofisa mazungumzo (manunuzi) siku yoyote ataachia kiti cha uenezi kwa vile kishaingia bungeni. Huku mlipaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Mh Bashiru...
Machi 30 mwaka 2021 Bunge la Jamhuri ya Muungano lilishuhudia dalili za kurudi mchakatoni kutokana na hoja za wabunge wawili waliokinzana wakati wa vikao.
Mbunge wa Viti Maalumu kutoka chama cha...
Umoja wa Katiba ya Wananchi wa vyama vya upinzani (UKAWA) uliibuka kutokana na minyukano ya kimaslahi ya siasa huku ukinasibu kutetea maoniya wananchi, na ndio waliosikilizwa zaidi kuliko serikali...
Kipindi cha miaka 5 ya JPm hakupata kuzungumzia kwa kina issue ya gas ya Mtwara. Ni kama aliamua kukaa kimya.
Kwa makusudi JPM alikwepa kuzungumzia kwa kina.
Pale akizungumzia mtego wa kupigwa...
Makamu wa Rais mama Samia akiwa katika ukaguzi wa maendeleo ya viwanda kwenye uchumi wa kati amesema atamtuma waziri wa kazi kutembelea viwanda kusikiliza matatizo ya wafanyakazi.
Mama Samia...
Kinachoendelea katika taifa letu kwasasa nakifananisha na sarafu kuwa na pande mbili zenye muonekano tofauti.
Wakati wa utawala wa shujaa wetu habari zilizokuwa zinasikika zilikuwa zinahusu...