Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mnyonge hasa ni nani Tanzania, ni kipi anachostahili, nani afanye nini na ni yapi madhara ya kutumia dhana hiyo isivyostahili. 1. Mnyonge ni mtu asiyeweza kujipigania yeye mwenyewe ili kuweza...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Natumia theory ya Assad kwamba duniani kote ndege hazinunuliwi kwa cash bali mkopo. Kwa theory hii ni vyema basi tuwakutanishe wajasiliamali wadogo jijini Dar wakope ndege hata 20 hivi za kuanzia.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
RAIS MAGUFULI AWE MAKINI NA WANAFIKI NDANI YA SERIKALI YAKE Mwaka jana niliandika nikitahadharisha kuhusu viongozi wanaotoa sifa za kupindukia kwa Mheshimiwa Rais Magufuli. Katika kundi hili wamo...
13 Reactions
24 Replies
4K Views
Kutokana na mambo kadha wa kadha kufanywa na ofisi hii ikiwemo ukaguzi wa hesabu za serikali bila kuwepo udhibiti wa wizi kwenye ofisi zetu za umma, basi nilikuwa naonelea kufutwa kwa majukumu ya...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Ni wazi kabisa bila hiyana CCM ile ambayo mtu akivaa vazi la chama anazomewa upepo ulibadilika sana baada ya hayati Magufuli kushika nafasi hiyo basi ikiwa watacheza mchezo mbaya unaondelea na...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Controller and Auditor General ametoa report yake ya mwaka jana juu ya utendaji wa shirika letu la ndege yaani ATCL. Katika report huyo ameaanisha kuwa kwa mwaka wa fedha uliopita shirika limepata...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi Ni Mtanzania,Mimi Ni mpenzi au shabiki wa Simba tokea nimezaliwa ila Ni mshabiki muoga,huwa naumwa Sana Simba ikicheza mechi nzito. Kuanzia leo naanzisha maombi maalum kuiombea Simba ishinde...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'. Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka. Sheria inasema muwekezaji...
64 Reactions
269 Replies
21K Views
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga...
26 Reactions
443 Replies
47K Views
Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi. Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na...
23 Reactions
98 Replies
9K Views
Kuna hoja imetolewa na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) na kurudiwa juzi Bungeni na Mbunge wa Mwibara (CCM) Kangi Lugola kuhusiana na ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
7 Reactions
191 Replies
25K Views
Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Prof Assad anaongea sana hana tofauti na Tundu Lisu. CAG Kicheere ameshatufafanulia wananchi kilichojiri katika ripoti yake na watanzania wamemuelewa lakini bado CAG aliyemaliza muda wake...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda. Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye...
21 Reactions
156 Replies
17K Views
Na Thadei Ole Mushi. Spika wa Bunge kaishangaa Serikali kuanza kutengeneza Reli badala ya Kuanzia na bandari. Si mara ya kwanza Kwa Mh Ndugai kusema kuhusu ujenzi wa BANDARI hii mwaka 2019...
17 Reactions
81 Replies
8K Views
Hili ndio swali langu la leo kwa wananchi wote wa Tanzania, kwamba pamoja na njaa waliyonayo watanzania ukichanganya na huu wizi uliovunja rekodi ya Jumuiya ya SADC uliofichuliwa na CAG, hivi bado...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimewahi kusema Mara kadhaa kuwa kila binadamu ana upande wake wa pili. Mara nyingi watu wataangalia ule upande wenye madhaifu ili watumie kukuadhibu. Mwaka 2019 kwa moyo wa pekee kabisa...
5 Reactions
82 Replies
4K Views
Angalizo: Uzi huu ni kwa ajili ya wenye akili timamu pekee. Moderators nawasihi sana, tafadhali. Ndugu zangu! Sote tunatambua kilichotokea hadi kupelekea madamu Rais kuwa hapo alipo. Sio kwa...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Tumezoe kwenye familia tukiulizwa anayedaiwa na Marehemu ajitokeze, anamdai Marehemu ajitokeze. Kauli hii inaungwa mkono na kampeni yakuandika husia. Husia serikalini nikukabidhi Mali na dhamana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vijana wa CHADEMA ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais. Je, ni kwa sababu amewashauri Wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine? Kila...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…