Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana nimetoka Ifakara, Tulipofika Eneo la Ruaha tuliambiwa abiria wote tushuke kuna ukaguzi wa Watu wa Maliasili! Tulipo shuka Abiria wote Aliingia Askari wa Maliasili kukagua Mabegi yaliyopo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukifuatilia historia ya bara la Afrika, kwa kiasi kikubwa lipo hapa kwa kukosa viongozi wenye maono ya kutoa watu wao kwenye umasikini. Mbaya zaidi viongozi wengi hawana uzalendo. Historia ni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO? Onyo : Usithubutu kuwaamini...
25 Reactions
67 Replies
5K Views
Inaaminika duniani kote vijana ndiyo nguvu ya kupeleka gurudumu la maendeleo mbele kwa nchi husika. Ila kwa serikali yetu imekua tofauti sana, hakuna maneno ya faraja na kutiana moyo kila leo ni...
1 Reactions
1 Replies
658 Views
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
Siku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'. Mwanzoni sikutilia maanani. Lakini, siku za hivi karibuni...
4 Reactions
76 Replies
6K Views
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.
0 Reactions
62 Replies
13K Views
Mh Spika wa bunge la 12 Job Ndugai, mmegoma kutoa ajira kwa vijana, mmeacha kutunga sera/shera nzuri ambazo zinaweza kuvutia uwezekaji mkubwa na kuleta ajira kwa vijana, mmeacha kupitsha sheria...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Na John Pambalu Mara milango ya gereza ikafunguliwa. Askari akasisitiza acheni simu zenu na Muingie watu 4 tu. Tukaambatana na viongozi wawili wa chama wilaya ya Mbeya mjini, mimi pamoja na...
61 Reactions
224 Replies
18K Views
Baada ya kifo cha mpendwa wetu takriban mwezi mmoja sasa kumetokea na sintomfahamu kubwa BUNGENI miongoni mwa MPs, hali ambayo sio AFYA kwa taifa letu. Tukumbuke kuwa hili ni Bunge la budget...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimepata nafasi ya kusikiliza kwa umakini sana hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ya makadirio ya mapato na matumizi katika ofisi hiyo na taasisi zote zilizoko chini yake. Kimsingi ni bajeti...
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Na Elius Ndabila 0768239284 Ni kweli kuwa lugha ya Kiswahili pamoja na historia yake kubwa, lakini ni ukweli kuwa inazungumzwa sana pwani ya Afrika Mashariki. Na Tanzania ndiyo nchi ambayo ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutoka kauli ya vijana mjiajiri hadi kauli ya vijana kuwa wezi na kutokuwa waaminifu. Kwa ujumla wake hakuna mtu aliyefurahishwa na kauli zako Mh.Ndugai dhidi ya vijana ukiwashambulia Bungeni...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mantiki ya kisiasa ya wapinzani wa kisiasa hapa Bongo hasa ACT wazalendo na Chadema kuwa ikitokea kuna suala fulani ndio iwe upenyo wa kupata kick za kisiasa sasa hivi halina nafasi tena. Maana...
1 Reactions
83 Replies
5K Views
Kutokana na kutokujielewa kwa Viongozi wengi wanaojiita ni Wazanzibari na wafuasi wengi hususan wa Chama Tawala (CCM) upande wa Zanzibar juu ya nyimbo wanayoimbishwa na Wasakatonge ya (ZANZIBAR NI...
8 Reactions
208 Replies
16K Views
Serikali imeliambia bunge kuwa lipo katika hatua za mwisho kwa ajili ya kuwasilisha bungeni muswaada wa marekebisho ya sheria ya mafao ya wafanyakazi kuhusu kikokotoo kipya baada ya kukamilisha...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Ndugu zangu waheshimiwa Wabunge, tafadhali tuangalizie kuhusu malipo ya mafao yetu NSSF na PSSF walah miezi sana vimilioni vitano wanashindwa kutulipa jamani, halafu mnasema hatupendi kufanya kazi...
21 Reactions
89 Replies
9K Views
Wakichunguza kesi walizoelekezwa na wanasiasa badala wafuate mfumo wakisheria wanawapelekea Kwanza wanasiasa kuuliza kama wachukue hatua gani? Nchi nyingine uchunguzi ukikamilika unapata taarifa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwema wanaJF, Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe...
5 Reactions
90 Replies
5K Views
Kutokuwepo Hayati Magufuli, ambaye aina ya siasa aliyoiendesha (Utashi wa Kisiasa, Uthubutu wa maamuzi magumu na kuyatekeleza, Usimamizi wa rasmali za nchi, nk) kumejitokeza uhalisia wa aina ya...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…