Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina atoa ufafanuzi juu ya mchango aliotoa Bungeni kwenye Hotuba ya Waziri Mkuu

SULEIMAN ABEID

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
329
250
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.

DUMPER

JF-Expert Member
Sep 19, 2017
497
1,000
Kwà uelewa wangu,kanda ya ziwa mwaka 2025 itaibua mtanzania wa kugombea urais, naye atashinda kitu hicho. Time will tell
Labda wewe si Mtanzania yaani MACCM yampinge mtu aliyekwenye kiti cha urais?Kwanza Mama atachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa maccm bila kupingwa mwaka huu au mwakani,then anakwenda kubadilisha katibu na mwenezi, baadae atachagua viongozi wa Tume then mgombea wa ccm mwaka 2025 na ataiba uchaguzi kama kawaida ya maccm. Labda hao jamaa unaosema kanda ya ziwa wapiganie kwanza katiba maana katiba nzuri inaweza kusaidia vilevile demokrasi kwenye vyama lakini kwa katiba hii wanasiasa wanaishi kwa kutegemea upepo tu
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
8,361
2,000
Kwà uelewa wangu,kanda ya ziwa mwaka 2025 itaibua mtanzania wa kugombea urais, naye atashinda kitu hicho. Time will tell

tukifika huko basi tumekwisha ndio mwanzo wa nchi kuanza kumeguka vipande, ndio maana kulikuwa na ule utaratibu wa kutoruhusu makabira makubwa kuongoza nchi..

Athari zilizoachwa na awamu iliyopita ni kubwa kuliko tunavyofikiri, kwa sasa ni rahisi saana wale maadui wa Tanzania kama akina PK na mabosi wao kupenya sasa na kutuvuruga mchana kweupe....tusipokuwa makini linaenda kuundwa Taifa lingine lake zone (tuwe makini) zipo ideology mbaya sana sasa kutuangamiza...
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,727
2,000
Labda wewe si Mtanzania yaani MACCM yampinge mtu aliyekwenye kiti cha urais?Kwanza Mama atachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa maccm bila kupingwa mwaka huu au mwakani,then anakwenda kubadilisha katibu na mwenezi, baadae atachagua viongozi wa Tume then mgombea wa ccm mwaka 2025 na ataiba uchaguzi kama kawaida ya maccm. Labda hao jamaa unaosema kanda ya ziwa wapiganie kwanza katiba maana katiba nzuri inaweza kusaidia vilevile demokrasi kwenye vyama lakini kwa katiba hii wanasiasa wanaishi kwa kutegemea upepo tu

Iwapo mwaka 2025 mgombea urais wa ccm atakuwa mzaliwa wa zanzibar, na mpinzani akatokea kanda ya ziwa, na ikatokea aliyetokea kanda ya ziwa anakubalika Mwanza,dar na mbeya . Mambo yatakuwa sio mambo. Hii ngoma mtasikia radioni.
 
Mindi

JF-Expert Member
Apr 5, 2008
3,328
2,000
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.

Luhaga Mpina...huyu ndie JPM alimwita "Kichaa Mwenzangu", mzee wa kupima samaki kwa rula. Bonge la Fala. Baadae JPM alimmwaga, alipiga fedha kwa kulangua ng'ombe aliowataifisha, walioingia sehemu za hifadhi.

Hata JPM mwenyewe alimmwaga. Hana sera. Hafai
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
7,925
2,000
Kwanza Mama atachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa maccm bila kupingwa mwaka huu au mwakani
Mkuu siyo mwaka huu, sema kabisa mwezi huu. Mama anaenda kupewa kiti mwezi huu kwenye mkutano mkuu ulioitishwa ukiwa na agenda hiyo kuu ya kuchagua Mwenyekiti wa ma-CCM. Hivyo anayeota kuja na mgombea wake atakuwa mgonjwa wa akili!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom