Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,251
- 34,198
Kutokana na uhaba wa walimu wa sayansi nashauri wanasiasa woote walio someshwa kwa fedha za wananchi tena free warudi darasani wakafundishe.
Hawa wanasiasa wanatakiwa kuwa wazalendo, haiwezekani wasomeshwe bure alafu wakimbie kazi zao wakati nchi ina uhaba mkubwa wa walimu wa sayansi.
Nashauri Mkulu pamoja na Pm waanze kuonyesha uzalendo warudi darasani kufundisha ili kufidia fedha za walipa kodi zilizo tumika kuwasomesha.
Ikiwezekana mkulu apangiwe shule za kule Sumbawanga na Pm apangiwe shule shinyanga vijiji!!
Uzalendo kwanza.