Rais Samia atua Dodoma akitokea DSM

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,200
27,248
Mama Samia shujaa amefika Dodoma leo akitokea Dar, tayari kwa kutekeleza ile kauli mbiu ya kazi iendelee.

Pia kwa wale watu vizabizabina, Mama Samia hajipangii ulinzi anapangiwa(makomandoo wenye bunduki) na pia hajipangii red carpet anapangiwa(ziara za kiofisi).

Hizo ndio protocols, kwa hiyo muache kujifanya wajuaji.

#nipo na mama# kazi iendelee#
Screenshot_20210413-171835_1.jpg
 
Hii ndio ilikuwa ziara ya Mwisho ya Nyerere baada ya hapo alitangaza Serikali kurudi Dar es Salaam. Utawala huu sijui kama wamewahonga wakulwa
 
Mama Samia shujaa amefika dodoma leo akitokea dar, tayari kwa kutekeleza ile kauli mbiu ya kazi iendelee.
Pia kwa wale watu vizabizabina, Mama Samia hajipangii ulinzi anapangiwa(makomandoo wenye bunduki) na pia hajipangii red carpet anapangiwa(ziara za kiofisi). Hizo ndio protocols, kwa hiyo muache kujifanya wajuaji.
#nipo na mama# kazi iendelee#
View attachment 1751002
Uendelee kuwa na mama hivyo hivyo, hata akikutumbua, siyo urudi huku kulialia!
 
Sawa Mkuu ,watu tunataka fedha kitaani ,akiendeleza madudu ya MEKO ataparuana na KIGOGO.
Mkuu heshima kwako, Ila nakushauri ongeza bidii kwa kile unafanya. Serikali haitakuletea ugali mezani(ukweli mchungu)
Fanya kazi kwa bidii sana, kila siku buni vitu vipya punguza masaa ya kulala. Hizi kelele za humu kuwa pesa hakuna Wala usizitilie Sana maanani
 
Back
Top Bottom