Kipanya awachora wabunge. Je anaamisha nini katika picha hii?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,601
94,726
Kipanya ameendelea kuwashikia kibendera wawakilishi wetu pale mjengoni.

Picha hii chini binafsi nimeshindwa kuilewa maana siyo mjuzi wa kusoma habari picha.
Screenshot_20210418-101356.jpg
 
Kama hayati angekuwepo nina hakika hakuna hata mbunge mmoja angeweza kuikosoa serikali na tasisi zake iwapo CAG angewasilisha og report
 
Kama hayati angekuwepo nina hakika hakuna hata mbunge mmoja angeweza kuikosoa serikali na tasisi zake iwapo CAG angewasilisha og report
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom