MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka kufuatilia majadiliano ya kuimaliza kesi iliyowasilishwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) dhidi ya mwenyekiti mtendaji wa PAP...
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe Salama Mbarouk Khatib ameagiza kurejeshwa wizarani wafanyakazi watatu wa baraza la Mji Wete baada kushindwa kutekeleza maagizo ya Serikali ya kuifanyia...
Na Emmanuel J. Shilatu
Napenda niungane na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya 5 Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa hotuba safi iliyokata...
Upinzani hasa Tundu Lissu na Chadema umeshinda kwa 100% ajenda zao zote walizozisimamia Leo mama Samia ndio anazifanyia kazi .
Nakumbuka Tundu Lissu alizunguka nchi na kukusanya maelfu ya watu na...
1. KUFANYA KAZI KWA BIDII
Kama kila Mtanzania atajituma popote pale alipo kwa Kufanya Kazi kwa bidii ili Kujiletea Maendeleo yake na ya nchi nina uhakika itakuwa ni Zawadi yetu tosha kwa Mama...
Niombe sana Mhe. Rais upitie upya mfumo wa serikali unaopelekea majalada yafike mezani kwako kwa utiaji sahihi. Yawezekana mfumo huu ulivurugwa au umevurugwa bila kuzingatia utaratibu uliowekwa...
Nimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui.
Kuondoka kwa JPM...
Magufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta.
Kwa upande wangu mambo haya machache...
Inasikitisha lakini haishangazi, kwamba wapo baadhi ya watu, wakiwemo Watanzania wenzetu wameanza tena kurejea tabia iliyokuwa imeanza kukoma, ya udokozi wa mali ya umma, wizi. Kwamba baadhi ya...
Mwishoni mwishoni mwa hotuba ya Rais Samia kazungumzia mambo ayaonayo mitandaoni.
Mambo ya kizushi, ya kuchonganisha, na kila aina ya uzandiki.
Ni jambo jema. Ni jema kwa sababu linaonyesha...
KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NI JAMBO MHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan aliwahutubia...
Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini.
katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
Tukumbuke kuwa mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe katika...
Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa...
Katiba ndio muongozo na uhai wa taifa lolote duniani. Inapotokea Katiba haisemi au kuzungumzia jambo kinagauba au kuonesha upungufu wa aina yoyote ni ishara kuwa ni utatanishi hivyo kuhitajika...
#Tujadili hotuba kidogo.
Binafsi nimesikiliza hotuba ya Mh.Rais jana.
Kwa muda ambao Mh.Samia yupo madarakani ni vigumu sana kumuhukumu kipindi hiki ikiwa hata miezi miwili bado, vyema kumpa...
21 April 2021
RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA CHINA
Mhe. Samia Suluhu Hassan leo akutana na wawakilishi wa chama cha wafanyabiashara wa China wanaoendesha biashara...
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara
Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa...
Uzalendo kwa maana ya kulipenda na kujitoa kulitumikia na kulitetea taifa katika hali zote na kwa moyo wote, na ujasiri kwa maana ya kuwa tayari kukabiliana na nguvu iwayo yote kutoka kwa yeyote...
Wakati huu wa kuelekea maridhiano ya kitaifa kwa siasa za Tanzania, CHADEMA tujitathimini pia, hasa kuhusu Mzee Halima na wenzake!
Ni kweli wapo bungeni kwa makosa, Mahera na nani sijui kwenye...