Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,533
- 49,404
Magufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta.
Kwa upande wangu mambo haya machache ninayaita makosa ya Magufuli ambaye hapaswi kusamehewa;
1. Kuondoa fao la kujitoa kwa watumishi wa umma na taasisi binafsi.
2. Kuvunja mifuko ya hifadhi ya jamii na kuuunda au kubakisha 2 tu ambayo inajiendesha kwa mifumo ya kidikteta. Haina competition. Zamani LAPF na baadhi ya mifuko kulikuwa na promotions nyingi kama mikopo nafuu ya elimu, nyumba na promotions zingine. Sasa hivi hii mifuko miwili haina cha promotions Wala nini.
3. Kutokuniongezea mshahara kwa miaka 5 mfululizo huku vifaa vya ujenzi vikipanda bei kila mwaka. Nondo iliyouzwa 14 miaka 5 iliyopita sasa elfu 20, cement kutoka sh.elfu 10-12 sasa elfu 15 hii ni bei ya Dar sijui huko mikoani na wilayani.