Tundu Lissu katoa somo sana katika siasa za Tanzania

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,259
2,000
Upinzani hasa Tundu Lissu na Chadema umeshinda kwa 100% ajenda zao zote walizozisimamia Leo mama Samia ndio anazifanyia kazi .

Nakumbuka Tundu Lissu alizunguka nchi na kukusanya maelfu ya watu na kuwaambia ukweli juu ya utawala wa Magufuli.

Watu walielewa ila somo halikuwaingia waliokuwa watawala wa utawala wa Hayati Magufuli.

Sasa Mama anawaumbua kwamba ukitaka kutawala vema lazima usimamie kile watu wengi wanachokitaka.

Kuanzia Sera za uchumi
Sera za elimu
Sakata la corona
Swala la Democrasia
Maswala ya TRA
Jinsi ya kuvuta wawekezaji
Uhuru wa vyombo vya habari
Kuongeza mishahara kwa wafanyakazi
Ajira mpya kwa vijana
Hali ya mahakama na binge kuwa hoi

Ukisikiliza hotuba za Lissu wakati anazunguka nchi mwaka Jana ndio utanielewa.

Leo ndio wimbo wa taifa wa chama kile kile kilicho madarakani.

Liwe fundisho kwa watawala wa kiafrika kuwa tunatakiwa kuwa na siasa za hoja sio polojo na publicity kama ilivyokuwa utawala wa Magufuli.

Kwamba Leo waliokejeli hoja za Tundu lissu Leo ndio vipaza sauti wa hoja hizo hizo za Mama samia.

Tujifunze kuweke akiba ya maneno.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
22,630
2,000
Mwendazake alikuwa ni Ŕais wa ajabu kutokea duniani - nchi inarudi where it used to be we hope, wabunge mlioingia mjengoni kwa mgongo wa mwendazake kuleni hela za mwisho mwisho ili mstaafu.
Barua ya Mwanasheria Tito ina ukweli 99%. Mama Samia una kazi kubwa sana kuirudisha nchi yetu hapo ilipokuwepo awali hasa jambo la udugu na upendo...haki za binafamu na utawala wa sheria mwendazake kavuruga kila sehemu
 
King klax

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
3,316
2,000
Siku zote na jua upande wa pili (upinzani huwa unamulika pale serikali ilipokosea au kushindwa na nn kinatakiwa) ila kwa huku Africa na baadhi nchi za mashariki ya kati inaonekana upinzani unataka kuwanyang'anya keki mdomoni,, kumbe siyo) chama changu cha CCM tusipo angalia tutukuja kuondoka madarakani bila kupenda,, kwa viboko,, kupigwa mawe,, kwa kushindwa kuongoza nchi!!!!
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
6,714
2,000
Upinzani hasa Tundu Lissu na Chadema umeshinda kwa 100% ajenda zao zote walizozisimamia Leo mama Samia ndio anazifanyia kazi .

Nakumbuka Tundu Lissu alizunguka nchi na kukusanya maelfu ya watu na kuwaambia ukweli juu ya utawala wa Magufuli.

Watu walielewa ila somo halikuwaingia waliokuwa watawala wa utawala wa Hayati Magufuli.

Sasa Mama anawaumbua kwamba ukitaka kutawala vema lazima usimamie kile watu wengi wanachokitaka.

Kuanzia Sera za uchumi
Sera za elimu
Sakata la corona
Swala la Democrasia
Maswala ya TRA
Jinsi ya kuvuta wawekezaji
Uhuru wa vyombo vya habari
Kuongeza mishahara kwa wafanyakazi
Ajira mpya kwa vijana
Hali ya mahakama na binge kuwa hoi

Ukisikiliza hotuba za lissu wakati anazunguka nchi mwaka Jana ndio utanielewa.

Leo ndio wimbo wa taifa wa chama kile kile kilicho madarakani.

Liwe fundisho kwa watawala wa kiafrika kuwa tunatakiwa kuwa na siasa za hoja sio polojo na publicity kama ilivyokuwa utawala wa Magufuli.

Kwamba Leo waliokejeli hoja za Tundu lissu Leo ndio vipaza sauti wa hoja hizo hizo za Mama samia.

Tujifunze kuweke akiba ya maneno.
Endeleeni kujiliwaza. Watanzania hawawezi kumchagua Kichaa Lissu!
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
618
1,000

wewe mbowe komaa
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
2,680

Huyo ndio maana ya mawazo mbadala na sii uadui ili manufaa ya wachache yapatikane.
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
8,806
2,000
Maajabu kutoka kwa Nyumbu wa Ufipa.
Wagombea wote wa uchaguzi CCM na wapinzani walihubiri haya mambo tangia kampeni za miaka ya 1995 huko,eti leo hii Nyumbu mmoja anasema Lisu ndo ameanzisha hili somo!!.
Mpeni"hi"Mdude mwambieni wembe wa sasa unakata upande wa pili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom