PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 867
- 947
ASIA HAMLAGA ANENA NA WAHITIMU DODOMA
Mbunge wa vitimaalum kundi la vijana Mh Asia Hamlaga ameshiriki mahafali ya kidato cha 6 Dodoma Sekondari Leo Tarehe 23/04/2021.
Mh. Asia alitumia wasaa huo kuwaasa wahitimu kwamba wasome kwa bidii na wafaulu vizur kwani serikali imeboresha vyema maslahi yao huko waendako (Vyuo vikuu) kwa kuweka bajeti kubwa kwenye mikopo ya Elimu ya juu na masharti nafuu.
Aidha, aliendelea kuwaeleza kwamba yeye kama mbunge wa vijana atakua nao Bega kwa Bega kwa kila nyanja na ofisi yake ipo wazi wakati wowote watakapo muhitaji.
Mh. Asia aliushukuru sana Uongozi wa shule wa shule hiyo kwa kuona anafaa kuwa mgeni katika mahafali hayo na kuwaahidi ushirikiano kila wakatiView attachment 1761916
Sent from my EVA-L09 using JamiiForums mobile app