Rais Samia akutana na Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Katibu Mtendaji wa SADC)

Wazo Kuu

Senior Member
Oct 21, 2018
114
293
IKULU

Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 23 Aprili, 2021

Screen Shot 2021-04-23 at 14.26.47.png
 
Stergomena Tax Bamwenda ni Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Ushirikiano wa nchi za kusini mwa Africa (SADC). Ni Mtanzania ambaye zamani alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda. Bahati mbaya SADC ni kama club tu , haina maamuzi mengi ambayo ni binding. inaishia kushauri tu
Ni kweli mkuu ni kama Tea club ya viongozi wake ila huyu mama nadhani muda wake kuwa SADC unaisha labda Mswana anaweza kuchukua nafasi yake maana president wao ameshaanza lobbying ya raia wake achukue nafasi hii.
 
Lakini iwe mswana, n.k si haki yao na si Kuna taratibu za kumpata mwingine, baada ya alikuwepo muda kuisha
 
Ila sielewi kama Stergomena ameacha mchango wowote kwa Tanzania.
 
Lakini iwe mswana, n.k si haki yao na si Kuna taratibu za kumpata mwingine, baada ya alikuwepo muda kuisha
Mkuu umenena kama nilivyochangia mjadala huu ,ni haki ya kila member wa SADC kupeleka jina la raia wao na kufanyiwa kampeni,again ninarudia ni haki yao nilichoongezea na kuwa na informations about president wa Botswana kuanza kampeni ya raia wake na ni haki ya kila President kumfanyia kampeni raia wake(kumbuka President Nyerere kuhusu Salim Ahmed Salim kugombea kuwa SG wa UN)next time and always read to understand Mkuu
 
..huyu mama nilitegemea atapewa wizara fulani nyeti.

..siyo wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.

..alipokuwa nchini alitumikia ktk wizara hiyo kwa muda mrefu, na ndiko alikolelewa professionally.
 
Ila sielewi kama Stergomena ameacha mchango wowote kwa Tanzania.
Possible watanzania wakiwa kwenye nafasi hizi wengi wao wanajisahau ona kenya walivyojitangaza kiutalii wakati mwingine kutumia za kwetu na ambassador wetu hakanushi wala to put the record straight,ndio kwanza wanavuta viti virefu na kuagiza cognac!
 
..hatutaki kujifunza Kiingereza.

..sasa tutajitetea au tutajitangaza vipi kama lugha inatupiga chenga?
 
Back
Top Bottom