Freeman Mbowe, kimya cha sakata la wabunge 19 ni bomu kwa CHADEMA

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
2,926
3,054
Mheshimiwa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Popote ulipo nakusihi ufahamu kuwa kimya hiki kwenye suala la wabunge 19 ni bomu linalosubiria kulipuka ndani ya chama.

Basi fanya hima kuitisha kikao hata online,ili hukumu ya rufaa ya wanawake hawa iwe dhahiri.

Kila la kheri.
 
Mpaka sasa haijulikan kama Mbowe yupo hai au amekufa , the guy is silent more than two months sasa
 
Mbowe msela yule na ndiye mwenye akili nyingi kuliko wote huko Chadema licha ya kupata division zero form six, bila mbowe hakuna kitu kinachoitwa chadema believe me.
 
Basi fanya hima kuitisha kikao hata online,ili hukumu ya rufaa ya wanawake hawa iwe dhahiri.
Gharama za bando zimepanda kwa hiyo kikao cha online hakiwezekani, na kikao cha ana kwa ana hakiwezekani kwa sababu chama hakina fedha. Kipeni chama muda ili kijipange vizuri, nadhani ruzuku kutokana na hao 19 + 1 itakisaidia sana chama.
 
Mpak sasa haijulikan kama Mbowe yupo hai au amekufa , the guy is silent more than two months sasa
Mbona Lissu hajauliza!!! Lissu ana contacts ubalozi wa Marekani, hospitali ya Nairobi, na TISS; angekuwa keshainyaka hii!!
 
Mheshimiwa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Popote ulipo nakusihi ufahamu kuwa kimya hiki kwenye suala la wabunge 19 ni bomu linalosubiria kulipuka ndani ya chama.

Basi fanya hima kuitisha kikao hata online,ili hukumu ya rufaa ya wanawake hawa iwe dhahiri.

Kila la kheri.
Alishajibu hili swali, uliza jingine kama nia yako ni njema. Walishafukuzwa, wakakataa rufaa, vuta subira
 
Back
Top Bottom