Mbunge Godwin Kunambi amvaa Halima Mdee bungeni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,373
Mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi amemuonya Mbunge (asiye na chama), Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya njuka kwa "lugha za kejeli, lugha za kuudhi ndani ya bunge na sisi wengine ni vijana pia, bado hata umri wa busara haujafika. Namuaonya tu, hamna njuka hapa.
 
Ila Magufuli anaaibika jamani .... kuna wakati najaribu kumhurumia lakini mwili unakataa kabisa hasa ninapowakumbuka wahanga
Yaani umeongea kama mimi kabisa. Mwaka 2015 nikipiga kura Jimboni kwetu Iramba yaani nilimpigia kura kwa nguvu zote - Mwaka jana bhana - pamoja na kuwa name ni MCCM mkono wangu uligoma kabisa kutick pale kwake. Kumbe Mwenyezi Mungu alikuwa ananielekeza nisiwe MNAFIKI!
 
Back
Top Bottom