Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,286
- 4,853
1. Elimu
Elimisha kizazi kimoja kwa zaidi ya miaka 10, uone jamii hiyo itakavyoathirika. Elimu hiyo iathiri tabia zao, dini, utamaduni na vyombo vya habari hadi kugeuza uelekeo wao na mtindo wa kufikiri kwa kukumbatia minyororo na kujilaza mbele ya kiti cha mkoloni.
Kuelimisha ni kuvunja mioyo. Ukweli wao versus ukweli halisi.
Ndiyo, elimu uliyonayo imekuzuia kufanya mengi kwa ukubwa. Hakikisha elimu yako iwe chujio la kila wazo linalokuja. Yaani hakikisha wanakuwa viziwi na vipofu kweli kweli.
2. Utulivu utaisha tu
Jamii iliyobadilika baada ya kuvunjika, yaani hapa kuna taasisi zilishaanguka. Tamaduni chali. Jadi chali. Minyororo chali.
Ndani ya kundi kubwa, Serikali, lazima utalipuka mgawanyiko wa kisiasa. Mgawanyiko huo lazima utarudi kuielekea jamii na jamii itapasuka vipande zaidi kwa hasira.
Mifumo na taasisi zinazobaki ni zile wanazosema hazihusiki na siasa. Mifumo ya ulinzi inaanguka kama ilivyoanguka Serikali na jamii yake.
Ukianguka mfumo wa ulinzi, jua hakuna taasisi wala uadilifu utakaosalia, iwe kwa uoga au uzoefu.
Wakati huu sasa sukuma hoja kali zaidi kuua utulivu mdogo uliosalia.
3. Nchi inaingia katika ghasia kubwa
Hapa machafuko ya kutisha yanatokea. Amani inayeyuka, hofu inatawala. Uchumi unaanguka. Nchi inajifia.
"Upinzani hudhibitiwa kwa kigezo cha usalama na utulivu."
Heshimu watu wa kawaida, maana kutokushiriki kwao katika maamuzi wanajua demoghasia huwanunulia masikio.