JE HUYU SALMAN NILESH NI NANI

JE HUYU SALMAN NILESH NI NANI

TheMaster

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
63
Reaction score
136
Naomba kujua huyu Salman Nileshi anaehusishwa kwenye sakata la John Heche n nani hasa na kwann anamsaidia Heche

IMG_5285.jpeg
 
Naomba kujua huyu Salman Nileshi anaehusishwa kwenye sakata la John Heche n nani hasa na kwann anamsaidia Heche

View attachment 3670711
Hiyo si kesi ya msingi, kesi ya msingi inamuhusu mhe. Lissu hayo mengine ni kuiyumbisha kesi baada ya kuendelea upande wa mashitaka kuendelea kukosa ushahidi wa ugaidi wa Lissu.
 
Naomba kujua huyu Salman Nileshi anaehusishwa kwenye sakata la John Heche n nani hasa na kwann anamsaidia Heche

View attachment 3670711
TUMSIKILIZE NALESH MWENYEWE KISHA TUMUULIZE TENA HECHE, JE NALESH ANAMJUA? Akizungumza kuhusu suala hilo, Nilesh alisema Heche ni mfanyabiashara mwenzake katika sekta ya mafuta nchini Kenya, na kwamba mara kadhaa wamekuwa wakisaidiana kifedha kutokana na ushirikiano wao wa muda mrefu.

"Ninachotaka kuweka wazi ni kwamba fedha nilizompa Heche si za CHADEMA wala hazikuhusiana na shughuli zozote za kisiasa. Heche ni mfanyabiashara mwenzangu upande wa mafuta nchini Kenya, hivyo kumpatia fedha kwa ajili ya shughuli zake binafsi ni jambo la kawaida kwetu na si mara ya kwanza kufanya hivyo," alisema Nilesh.
 
Tatizo maswali ya majaji yamekaa kimtego sana ,unaulizwa Nilish Unamfahamu? Ukiju Ndiyo wanaachia hapo hapo then unatengeneza mjadala huko LUMUMBA kwamba Heche anafahamiana na Nilesh(ambapo siyo kosa) ,Ukisema Simjui ndiyo hivyo wanaenda next stage ya kuweka miamala hapo ndipo BALAA zaidi hata ukija kujieleza wananzengo watakataa.
 
Back
Top Bottom