Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Udugu hazina kubwa. Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini. Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
3 Reactions
11 Replies
3K Views
nimemfuatilia mwanasiasa huyu kijana nikaona anafaa sana kwenye nafasi yake mpya. Alipambania chama kipindi akiwa UVCCM. Alitulia kipindi alipopewa nafasi mpya. anajua kujieleza na anajua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri? Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa.. Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote.. Kaanzia kwenye...
37 Reactions
127 Replies
53K Views
Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya na Katibu Mwenezi wa CCM Leo jijini Dodoma kumehitimisha utumishi wa Dkt Bashiru na Komredi Polepole katika Utumishi wa chama cha Mapinduzi. Utezi wa Dkt. Bashiru na...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za Jumapili wakuu, Katika hali isiyoshangaza kabisa ya mwana kurejea nyumbani (CCM) ikiwa inaendelea kwa sababu tu za kuunga juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli, napenda kutoa rai na...
14 Reactions
148 Replies
13K Views
Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli. Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya...
26 Reactions
125 Replies
11K Views
Viongozi walioteuliwa na Mwenyekiti wa CCM ni ishara kwamba hakuna kiongozi ndani ya chama hicho. Nianze na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kwa kipindi chote alichokaa Ruvuma hakuna jambo unaloweza kusema...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi(mei mosi), walimu tunakuomba mheshimiwa Rais uunde tume ya elimu kukichunguza chama cha walimu (CWT) kwakuwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbunge akiteuliwa na Rais anapoingia Bungeni anakabidhiwa gari yakutembelea V8 au anajitaftia gari analiona litampendeza kulingana na shida au utajiri wake? Nauliza swali ili kulinganisha na...
2 Reactions
0 Replies
821 Views
Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha. Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6...
9 Reactions
81 Replies
7K Views
A. UTANGULIZI Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba...
22 Reactions
218 Replies
17K Views
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge wa kuteuliwa wa JMT Ndg. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Wanabodi,kwa kweli Jana nimejisikia vibaya sana pale kwenye tukio la upigaji picha na mh Rais kwenye uzinduzi wa ujenzi wa reli ya umeme,tukio la kusikitisha ni pale walipoitwa viongozi wa vyama...
9 Reactions
58 Replies
9K Views
Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi...
6 Reactions
104 Replies
9K Views
Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600. Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri. Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini...
4 Reactions
73 Replies
9K Views
Huyu ni DED wa wilaya ya Karatu. Anaitwa Waziri Morice. Ananyanyasa sana watumishi wa Serikali katika wilaya yake na anavyowanyanyasa anatamba kuwa anaweza kuwafanya chochote na watumishi hao...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
Tunakupongeza kwa kuteuliwa kwenda kulisimamia shirika kubwa la NSSF ambalo kabla ya hapo alikuwepo bwana Erio. Baada ya pongezi zangu nikupe dondoo za kitu cha kufanya mara uingiapo na kuanza...
21 Reactions
153 Replies
32K Views
WanaJF Katika kuweka kumbu kumbu sawa watu wote wenye video za majigambo na tambo, hata screen short za Twitter, Insta ili iwe funzo kwa watoto wetu kama sehemu ya history kwa vijana wenye tamaa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Inaeleweka kwa mtu yoyote ambae ni mfuatiliaji wa mambo na kuifuta ni kuenzi hizi siasa za hovyo zilizoasisiwa na marehemu. Wacheni watu wayajue mambo haya mapema kabla hayajatkmia ili wasiumizwe...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
Katika miaka 10 ya awamu ya nne ya JK (2005 hadi 2015), kila mwaka ilikuwa ifikapo tarehe mosi Mei serikali ilikuwa ikitamgaza ongezeko la kiasi fulani kwenye mishahara ya watumishi wake wa...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…