Catherine Ruge: Dr. Kigwangala usinipe vitisho, mjibu CAG

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,089
103,323
20210411_100604148271.jpg

Dr. Kigwangala yupo humu aache kutisha kina dada, kwa sababu ana ID humu aje ajibizane humu. Kama hawezi basi arudishe hela walizoiba
 
Kigangwala alipaswa awe muigizaji Tu
Uwaziri ni kumpa mzigo mzito...

Halafu kwanini asiseme Marehem ndo alimpigia simu kuagiza awalipe wasanii??
Hata kama sio kweli Nani atabisha??
Kipindi hiki kila mtu anamsingizia marehem ya kweli na yasiyo ya Kweli
simu itafatiliwa kuhakikisha kama mi kweli aliambiwa hayo maneno.na kama hakuambiwa jua hapo atakuwa na kesi ya uhaini kwa amiri jeshi mkuu na nadhani unaijua adhabu ya uhaini ni nin
 
Safi kabisa
 
simu itafatiliwa kuhakikisha kama mi kweli aliambiwa hayo maneno.na kama hakuambiwa jua hapo atakuwa na kesi ya uhaini kwa amiri jeshi mkuu na nadhani unaijua adhabu ya uhaini ni nin
Je kama walikutana Ikulu akapewa maelekezo??
 
Back
Top Bottom