Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri. Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako. Kwa kukusaidia tu. Kuna nguli walitoka...
23 Reactions
67 Replies
6K Views
Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi. Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kazi ya bunge ni kutunga sheria japokuwa kiukweli sheria zinatungwa na Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali. Kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria. Je, kuna tunayeweza kumvumilia hapa akivunja...
0 Reactions
3 Replies
861 Views
Kwa takriban miaka 30, tarehe 3 Mei ya kila mwaka, dunia imekuwa ikiadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani inatupa fursa ya kuenzi nafasi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwanza nieleze kiitikadi mimi CCM (mshabiki), ila u-CCM wangu haunizuii kuona mabaya/mazuri au 'mazurimabaya' ya chama changu au chama kingine. Chadema ni chama cha upinzani tena kikuu lakini...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, Kuna baadhi ya Wabunge wakiwa wanachangia mijadala kadhaa pale bungeni (hasa katika bunge hili la bajeti) Mbunge anaweza kuwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Inawezekana ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga na hawatunzi kumbukumbu kutokana na ujinga wao , lakini siamini kama watu hawa ni mbumbumbu kiasi cha kudanganywa kibwege namna hii.
13 Reactions
49 Replies
5K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Nilisimuliwa kisa hiki nikiwa maeneo ya Maramba huko Muheza Mkoani Tanga mwanzoni mwa miaka ya themanini. Ni kisa cha mchuuzi wa maembe ambaye alikuwa ananunua maembe kutoka...
16 Reactions
104 Replies
18K Views
Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi kwa mujibu wa katiba. Ndicho chombo kinacho tunga sheria kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano. Kwa maana ieleweke wazi kuwa sheria iliyo tungwa...
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Ndugai siyo Mahakama kuwa inahitaji ushahidi kama alivyodai. Yeye anachotakiwa kuthibitisha ni kuwa barua aliyopokea imetokea Chadema na kufuata sheria an kanuni na taratibu za kuandika barua hiyo...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Naona kama Spika wa bunge la JMT anakosa hoja na kuweweseka. Hivi baraza kuu la Chadema ndio huvukuza wanachama? Ndio kusema Spika Ndugai anajikita kuwatetea akina Halima kwa kudai Katiba ya...
2 Reactions
5 Replies
992 Views
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa. Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza...
4 Reactions
67 Replies
8K Views
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametembelea jimbo la Hai lililotelekezwa na Freeman Mbowe tangu uchaguzi wa 2015! Jerry Muro amepata mapokezi makubwa kutoka kwa wananchi wa jimbo hilo na...
5 Reactions
140 Replies
24K Views
Amani iwe kwenu. Wakati katibu mkuu wa chadema akiwa Vincent Mashinji ,bavicha walimbatiza jina la katibu mkuu bubu na wakaanza kampeni ya kumshikiza mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe afanye...
9 Reactions
140 Replies
14K Views
Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanabodi kwa muda sasa namfuatilia Mwanasiasa Lazaro Nyalandu. Binafsi namuona kama Mwanasiasa ambaye anaamini katika Utu, Ubinadamu na haki na amesimamia anachokiamini popote alipo. Nimemuona...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hapa nchini tuna jumuia kubwa ya wananchi wenzetu ambao wana Asili ya India, miongoni mwao huwa wanasafiri kwenda na kurudi Ibdia kwa shughuli za kijamii, kibiashara na Kidini. Na tunajua kuwa...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
My Take Mhimili unapogeuka kuwa dalali wa ubunge basi hatuna bunge, tuna mkusanyiko wa watu wanaounda kitu kinachofanana na bunge
15 Reactions
35 Replies
4K Views
This comes in the backdrop of reports of growing number of infection within the diplomatic community in the capital. A Tanzanian official based here has become the first foreign diplomat to die...
7 Reactions
70 Replies
10K Views
Iliitwa Bongoland sababu ili ukae Bongo lazima utumie akili. Sasa kwa akili za kawaida Nyalandu anaushawishi gani wa kisiasa mpaka kurudi kwake CCM iwe siku ya mkutano mkuu? Kwamba hii leo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…