Tume ya uchunguzi Benki Kuu Januari hadi Machi mbona kimya?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Watanzania nawasalimu

Nakumbuka wakati Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano Rais Samia anapokea ripoti ya CAG pale Dodoma alilitangazia taifa kuwa ameagiza uchunguzi ufanyike bank kuu kati ya Jan - March 2021 kutokana na uchotwaji wa pesa uliofanywa kipindi hicho.

Nadhani sasa ni muda muafaka kama uchunguzi huo umekamilika ukatujulisha wananchi kama ulivyotutangazia. Pia ukawataja wahusika kama wapo bila kuogopa.

Madaraka yao ili ujijengee imani kwa sisi wananchi.
 
Kule kuna mambo mengi sana ila pamoja na hayo Tusije kusahau kuwa hawa ni CCM.
 
Back
Top Bottom