Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wangu na mama yangu Samia, kwanza nakupongeza sana kwa hatua uliyochukua ya kuanza kuboresha mahusiano ya kidiplomasia na Kenya kwa sababu yalianza kufa kimya kimya, yaani Tulikuwa na...
39 Reactions
135 Replies
12K Views
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo kwa shule za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwamba katika kipindi cha Hayati, Kenya waliumia sana kuona jinsi mwendazake alivyolirudusha Taifa la Tanzania nyuma katika nyanja zote? Wakatuonea sana huruma jinsi majirani zao tulivyokuwa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Chama cha Wafanyabiashara Wanawake nchini (TWCC) kimempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake tangu alipopata madaraka...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale wanaobeza wengine kwa kuwaita MATAGA wanafanya hivyo wakielewa hata maana ya neno MATAGA "Make Tanzania Great Again"? Taifa lilikuwa linaielekea kubaya hadi 2015, na watu tulitaka mwelekeo...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam. Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
IKULU,Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
12 Reactions
88 Replies
10K Views
Na Hamisi Nasri, MASASI WATU 11 wa wakazi wa wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Masasi mkoani humo kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nisipokuta sehemu yoyote ile katika Kitabu anachoenda Kukizindua Keshokutwa (Jumamosi tarehe 8 May, 2021) Rais Mstaafu Mzee Mwinyi amekiri kuwa Awamu yake ndiyo 'Baba wa Rushwa' nchini Tanzania...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama! Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa...
1 Reactions
75 Replies
7K Views
Hakuna siri tena lile anguko la CHADEMA ambalo lilitabiriwa tangu Dkt. Slaa afanyiwe figisu na kuhama CHADEMA sasa limetimia. Kiuhalisia lazima aliyesababisha anguko hili Watanzania wanatakiwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Watu wa kwanza wanaotakiwa kulifahamu hili ni viongozi wetu, na wao ndio wawe mstari wa mbele kuhimiza kila mtu ajibidishe kujiletea maendeleo na kwa kufanya hivyo kuipatia nchi yetu maendeeo...
0 Reactions
3 Replies
901 Views
Kwanza nianze na ufafanuzi wa kimantiki wa neno utawala, utawala(Excutive) katika nchi ni genge(syndicate), kwa maana ya kuwa ni kundi la watu lililojumuika pamoja na kujiwekea mienendo, kanuni na...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Habari wanajukwaa, ni utaratibu wa kawaida wa kila Alhamisi Wabunge hupata nafasi ya kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu na kupatiwa majibu ya moja kwa moja hasa kuhusu mambo nyeti yanayopaswa...
9 Reactions
201 Replies
17K Views
Jeshi la polisi Mkoani Dodoma limesema limejipanga kwa vizuri kwa wale wote watakaokuwa na nia ovu ya kufanya vurugu na kuhatarisha amani katika kampeni za Vyama mbalimbali za Siasa. Akizungumza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wadau! Mwaka 2020 tulitangaziwa Tanzania kusajiliwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wamefikia kiwango cha Uchumi wa Kati wa chini yaani Lower Middle Income Country...
10 Reactions
172 Replies
18K Views
Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu...
35 Reactions
112 Replies
8K Views
DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili. ========= Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema Serikali ya Zanzibar imekubali kufanya kazi pamoja na Serikali ya Uingereza katika mapambano dhidi ya uhalifu wa...
1 Reactions
3 Replies
853 Views
RAIS WETU MPENDWA MAMA #SAMIA SULUHU HASSAN NI MZALENDO WA TAIFA HILI, ALIKOTOKA NA ALIPO, TUNAMUAMINI NA TUMUAMINI Fuatana Nami YonaPAVEA Rais Mama #SAMIA SULUHU HASSAN amezaliwa, Amekulia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…