Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa...
Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho...
Wale watu wanaojifanya hawependi siasa wala hawaoni tija kushriki katika siasa leo wameona na wamejifunza kupitia kuharibika kwa mechi kati ya Simba na Yanga kwamba siasa ndio kila kitu na huwezi...
Binafsi nimeshaanza kuuona mwanga kupitia mboni za macho ya Rais Mama Samia. Ninamuona Rais Samia akizifuata nyao za Angel Makel wa Ujerumani.
Kama Rais mwanamke ni vizuri covid 19 ikipungua...
Baada ya Mwendazake television ya Taifa TBC sasa imeanza kubadilika, Katika kipindi cha Hadubuni Leo Mwandishi wa habari amewahoji manesi wastaafu wa muhimbili waishio Magomeni ambao walistaafu...
Serikali ya Tanzania imesitisha utekelezaji wa kanuni za kukagua nyimbo za wasanii kabla hazijapelekwa kwenye redio, televisheni na majukwaa mbalimbali.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumamosi Mei 8...
Serikali kwakuwa nyie ndio mmetajwa katika taarifa ya TFF kuwa mmeagiza mechi ya Simba na Yanga isogezwe mbele mpaka saa 1:00 usiku badala ya kuanza saa 11:00 jioni kama ilivyokuwa imepangwa...
Kufuatilia kauli ya Raisi Samia kuwa atateu watu wa kufanya nae kazi bila kujali itikadi zao; je utaunga mkono ikitokea Lissu anateuliwa kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali?
Mbali na kupiga...
Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda...
Habari wadau..!
Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo.
Kuna dalili ya kwamba
1. Machinga kuondolewa kando kando ya...
Sisi tulikuwa tunakusapoti umetuangusha sana, kitendo cha leo serikali yako kuingilia masuala ya Soka na kupelekea kuvunjika kwa pambano la soka kati ya timu za Yanga na Simba kinasikitisha sana...
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga...
Tunapoongelea ulofa, sio tusi, ila ni hali ya akili kushindwa kujiongeza na kuzigeuza changamoto zako za kimaisha na kiuchumi kuwa fursa.
Sio kila fursa inayopatikana kwa kuwa mwana CCM ni...
Tazama mawingu angani ujue mvua itanyesha. Tazama ishara Kama yanatokea mabadiliko ya sera.
Rais anasema anataka watu wote wafanye. Rais anasema vijana hawana sababu ya kuiba.
Ile hotuba ya...
Mabibi na mabwana pongezi nyingi zimfikie mama Samia rais wetu.
Ama kwa hakika kajua namna za kukonga nyoyo za watu wake. Mama amekuwa muwazi. Sote sasa tunajua angalau tulipo na tunakoelekea...
Naona wapinzani wa marehemu; wanaopigana na mtu ambaye haongei wala hasikii wameanza kupungua. Hii ni ishara kuwa zile hatua tatu tutakazopitia tumeanza kumaliza ya kwanza!
Wamemchafua lakini...
Kwanza nawapongeza katika jitihada zenu kuhakikisha wanachama wenu wanapata huduma bora.
Hakika mmejitahidi kwa ubora wa huduma ikiwa ni pamoja na kutolea ufafanuzi wa uposhaji wa baadhi za...
Mimi nawajua hawa jamaa vizuri wao wanayo namna ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kutumia udhaifu na makosa ya CCM. CCM ikijisahau na kufanya makosa kwa kuruhusu ufisadi basi hapo ndipo hukomaa na...
Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa...