Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenu TCRA na waziri wa mawasiliano na uchukuzi, mbona mambo hayako kama ambavyo mlitaka tuamini kuwa yatakuwa? 1. Gharama ya bundle bado zinatofautiana kutoka mtandao mmoja na mwingine japo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa...
26 Reactions
245 Replies
21K Views
Arusha. The Bank of Tanzania (BoT) has issued an approval for CRDB Bank Plc to extend its footprints to the Democratic Republic of Congo (DRC), it was announced here during the weekend. This is...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu anaitwa Victoria Charles Mwanziva Katibu Hamasa na Chipukizi Umoja wa Vijana wa CCM Taifa. [emoji3][emoji3][emoji3]
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni muda muafaka saasa wa kuunda Chama kipya cha upinzani kufuatia anguko kuu la upinzani baada ya upinzani uliopo kukumbwa na kimbuga Magufuli baadaye Upepo Samia ukaja kuwafagia kwa hiyo kwa...
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Habari zenu jamani! Kiufupi nimetokea kupenda siasa,naomba mnishauri ni mambo gani natakiwa kuepuka, mambo ninayotakiwa kuyafanya, utaratibu wa kufuata ili hatimaye nije kuwa mwanasiasa mahili...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi...
10 Reactions
92 Replies
20K Views
Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama. Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa mabalozi 23, miongoni mwa mabalozi wateule hao wamo Hoyce Temu( 43) aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka...
32 Reactions
106 Replies
17K Views
Imeelezwa kwa watumishi wa umma toka maeneo mbali mbali wameanza kumkumbuka Hayati Magufuli kuhusu mishahara yao kucheleweshwa na utawala wa sasa. Wanadai kuwa enzo za hayati Magufuli walikua...
7 Reactions
92 Replies
9K Views
ADO SHAIBU AWASHUKURU TUNDURU KASKAZINI. Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ambaye alikuwa Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Kwenye Uchaguzi Mkuu 2020 amefanya ziara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika kizungumkuti hiki kinachoendelea leo, Wakubwa wanapeana Mahekalu na Mabenzi wakati wanananchi mamilioni kwa mamilioni wanatopea kwenye lindi la umasikini, Imenikumbusha kauli ya mwalimu...
14 Reactions
80 Replies
6K Views
Queen katika siasa alikuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM mpaka mwaka 2014 alipoamua kuhama na kujiunga na chama cha Alliance for Democratic Change (ADC). Mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu...
4 Reactions
72 Replies
18K Views
Wapo madereva na wafanyabiashara wanaohitaji msaada wakati huu pale mpakani mwa Rwanda na Kongo,Gisenyi almaarufu GRAND BARRIER. Watumishi wengi Watanzania wahudumuo kwenye mission maalum ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema yupo tayari kushirikiana na viongozi, taasisi na mashirika mbalimbali ya kimataifa katika juhudi za kufanikisha jukumu la kuipeleka mbele Tanzania. Amesema...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Leo 24/05/2021 nimesikiliza Swali la Pascal Mayalla aliloliuliza IKULU mwaka 2016 kuhusu Mihimili 3 ya serikali kwenye dhana ya separation of Powers; ' ulitoa maagizo kwa mihimili mingine kwa...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣. Je, nini kiini cha mgogoro huo...
40 Reactions
68 Replies
9K Views
Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ama hakika Wewe ndiye Jembe la ukweli na ndiyo maana umeweza Kukaa Gerezani kwa miezi hiyo Minne na bado umetoka huko ukiwa imara zaidi huku ukiwa hata wasiwasi wa Kuondokewa na Mtu ambaye ulikuwa...
5 Reactions
115 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…