Nape Nnauye ampongeza Kheri James na UVCCM, awataka watani wao (Chadema) wakajifunze siasa CCM

Yaani Nape huyuhuyu...kweli mnafiki hana aibu. Bila shaka tayari amesahau simu zake za usiku wa manane na ile safari yake ya Ikulu kujikomba kwa jiwe akisaka huruma kwa baba...

Hakika ningekuwa Nape, ningefikiria mara mbili kabla ya kukurupuka na matamshi ya kinafiki yasiyo na uhalisia wowote...shame on you!
 
Yaani Nape huyuhuyu...kweli mnafiki hana aibu. Bila shaka tayari amesahau simu zake za usiku wa manane na ile safari yake ya Ikulu kujikomba kwa jiwe akisaka huruma kwa baba...

View attachment 1795750
Hakika ningekuwa Nape, ningefikiria mara mbili kabla ya kukurupuka na matamshi ya kinafiki yasiyo na uhalisia wowote...shame on you!

Kupitia Magufuli tumewajua wanasiasa vijana ambao ni TAKATAKA!!
 
Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.

Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.

Kazi Iendelee!
johnthebaptist
Yaani huyu huyu Khery James aliyetoa hotuba ya chuki kubwa nyuma, kuwa watawapiga sindano ya sumu Chadema, ili wawamalize, ndiyo kweli huyo Nape, anasema kuwa Bavicha ndiyo waende kuiga siasa zao kwake??

Ama kweli siasa za unafiki hazitaisha huko CCM!
 
Ccm naifananisha na team inayowalazimisha wapinzani wao kucheza kama wao. Kimsingi ccm zama zake zimeisha, vyombo vya dola tu ndio silaha yao kuu. Hivyo wanataka kuwahadaa cdm ili wawaige kwa kujifanya wao wanajua siasa, kumbe wako madarakani kwa shuruti. Hao ccm wakawafundishe ACT, CUF, NCCR nk, maana hao ndio wanategemea mbeleko ya ccm kuwepo kwenye siasa.
 
Kupitia Magufuli tumewajua wanasiasa vijana ambao ni TAKATAKA!!
1621833170528.png

Aliingia kwa miguu akapewa land cruiser imsindikize
 
Hivi ni kitu gani cha maana unaweza kujifunza toka CCM? Wizi wa kura? Kuteka watu? Kujeruhi watu? Kuua watu? Au huo uharamia wa kubambikia watu kesi?

CCM kimfumo, ni takataka maana maamuzi yanafanywa na mtu mmoja. Marehemu aliwachezesha kwata, wakabakia kusifia mambo yake ya hovyo, utadhani hayawani. Leo amekuja Samia, na kuonesha siasa za marehemu ulikuwa uhayawani, CCM wanakenua meno na kushangilia.

CCM ni chama cha kinafiki, kisichoeleweka kinasimamia nini!!!
 
Vyama vyote vina unafiki!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom