Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,745
- 239,396
Wakuu mambo yanayotokea katika nchi hii kwa sasa hayawezi kupita bila kujadiliwa .
Hakuna kiongozi yeyote wa maana aliyetembelea nchi yetu tangu awamu ya 5 ianze , kisa ni nini ? Kwanini wageni wote wanaokuja Tanzania ya leo wana makandokando ?
Kwa mfano , kutembelewa na madikteta mashuhuri barani Africa , Kagame na Museveni haikuwa picha nzuri kwa dunia , hata yule " Msela , mla bata " Mfalme wa Morroco hakuwa na hadhi ya kiungwana ya kupokelewa ndani ya nchi yetu kwa shangwe kiasi kile , ukiacha kiongozi wa Turkey ambaye hata hivyo kutokana na matatizo ya nchini kwao , hawezi kuwa msaada kwa nchi yetu , wengine wote wanatufedhehesha tu .
Nakulilia Tanzania .