Njaa itawafanya CHADEMA washiriki Uchaguzi chini NEC hii

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,250
2,000
Ndugu zangu,

Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.

Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.

Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.

Muda utathibitisha
 
Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
693
1,000
HAIHITAJI KURUNZI AU TUNGULI KUJUA CHADEMA WATASHIRIKI UCHAGUZI KWA TUME HII, ILISHATOKEA HUKO NYUMA

Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya

Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata ruzuku na nafasi za viti maalumu ambavyo kina mdee walikuja kuviwahi. Nyakati zote hizo hapakuwa na Mabadiliko yoyote

Lipumba nae baada ya uchaguzi Mkuu akaitisha Press Conference akasema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi Tume Huru ya Uchaguzi ipatikane lakin ghafla uchaguzi uliofuata ndani ya miezi miwili kule Pemba wameshiriki

CHA AJABU WANAMSAKAMA ZITTO KABWE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO MUHAMBWE NA BUHIGWE
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,539
2,000
Ndugu zangu,

Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.

Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.

Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.

Muda utathibitisha
Ukikosa cha kuandika fanya mengine... CHADEMA is there to stay!
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,366
2,000
Ndugu zangu,

Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.

Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.

Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.

Muda utathibitisha
Ulikuwa unamsifia sana Magufuli sasa Chama kimerudi kwa wenye CCM yao Mwendazake kawakimbia mmebaki yatima
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,061
2,000
Ndugu zangu,

Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.

Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.

Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.

Muda utathibitisha
Rubbish
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,830

Kuna mambo muhimu ya kujadili wewe kila ukiibuka ni kutafuta jambo la kuitaja Chadema tuu!
Leta hoja zako hapa kuhusu yanayoendelea ndani ya chama chako kipya ccm ambacho kimerudi kwa wenyewe kutoka kwa wapendao kulambwa makalio.
Hujawahi kutumia akili hata siku moja, huo ndio ukweli
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,250
2,000
Acha udikteta kamanda...
Kuna mambo muhimu ya kujadili wewe kila ukiibuka ni kutafuta jambo la kuitaja Chadema tuu!
Leta hoja zako hapa kuhusu yanayoendelea ndani ya chama chako kipya ccm ambacho kimerudi kwa wenyewe kutoka kwa wapendao kulambwa makalio.
Hujawahi kutumia akili hata siku moja, huo ndio ukweli
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,269
2,000
Ndugu zangu,

Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.

Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.

Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.

Muda utathibitisha
CHADEMA watashiriki uchaguzi chini ya NEC hii hii wala huhitaji rocket science kuliona hilo.
 
Evarist Chahali

JF-Expert Member
Dec 12, 2007
994
1,000
Ndugu zangu,

Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.

Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.

Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.

Muda utathibitisha
MATAGA mnahaha. Mliingizwa mkenge na Mwendazake kuwa atadumu milele, kaondoka, kawaacha yatima, hamna pa kushikilia. Mtaisoma namba
 
X-bar

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
963
1,000
Ndugu zangu,

Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.

Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.

Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.

Muda utathibitisha
Mi naona CHADEMA wamedandia msimamo wa CUF bila kujipanga. Ukweli CHADEMA hawatadumu kwenye msimamo huu hasa ukizingatia ACT hawajasusa.
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
29,970
2,000
giphy (2).gif
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom