Deodatus Balile kama Mzee Mwanakijiji

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,362
2,000
Nimemsikiliza Deodatus Balile leo StarTv tuzungumze magazeti, Mmmh! ameniacha hoi! Haoni tatizo lolote na awamu ya tano! Kila kitu ni shwari na salama. ANASIFIA KILA KITU, Amebadilika, kweli woga umetamalaki kila kona!

Odero and Pasco are more analytical and critical thinkers than Balile, Balile ameangukia kwenye kundi la kusifia kama CCM!
 
ismailifaraj

Senior Member
Mar 26, 2016
123
225
Nimemsikiliza Deodatus Balile leo StarTv tuzungumze magazeti, mhhhhhhhhh! ameniacha hoi! Haoni tatizo lolote na awamu ya Tano! Kila kitu ni shwari na salama. ANASIFIA KILA KITU, Amebadilika, kweli woga umetamalaki kila kona!
Odero and Pasco are more analytical and critical thinkers than Balile, Balile ameangukia kwenye kundi la kusifia kama CCM!
Balile anazingua
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,758
2,000
Unaweza kujikuta uko peke yako kwa sababu hujiulizi kwa undani zaidi kwa nini wamebadilika?

Mtu mwenye hekima na busara achilia mbali komono sensi akiona baadhi ya watu aliokuwa anakubaliana nao wameanza kubadilika basi huanza kujiuliza maswali magumu ili apate majibu.

Siasa siyo ushabiki. Siasa ni muamuzi mkuu katika maisha.

Kwa kukusaidia zaidi, achana na huyu Pasco wa Jamiiforums, mtafute pia huyu Pascal Mayalla ili uwasikie wote kuhusu kauli zao kuhusiana na uongozi wa Rais Magufuli!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
158,557
2,000
Nimemsikiliza Deodatus Balile leo StarTv tuzungumze magazeti, mhhhhhhhhh! ameniacha hoi! Haoni tatizo lolote na awamu ya Tano! Kila kitu ni shwari na salama. ANASIFIA KILA KITU, Amebadilika, kweli woga umetamalaki kila kona!
Odero and Pasco are more analytical and critical thinkers than Balile, Balile ameangukia kwenye kundi la kusifia kama CCM!
It's almost 90% of 'them all'
 
ng'adi lawi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
2,958
2,000
Nimemsikiliza Deodatus Balile leo StarTv tuzungumze magazeti, mhhhhhhhhh! ameniacha hoi! Haoni tatizo lolote na awamu ya Tano! Kila kitu ni shwari na salama. ANASIFIA KILA KITU, Amebadilika, kweli woga umetamalaki kila kona!
Odero and Pasco are more analytical and critical thinkers than Balile, Balile ameangukia kwenye kundi la kusifia kama CCM!
Nillmwona kwenye taarifa ya habari akiwa kijijini kwake mkoani Kagera
a akifurahi mzungu kunyang'anywa shamba. Inaonekana naye amepata kihamba hapo. Kwa hiyo kuitetea serikali ni haki yake.
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,362
2,000
Nillmwona kwenye taarifa ya habari akiwa kijijini kwake mkoani Kagera
a akifurahi mzungu kunyang'anywa shamba. Inaonekana naye amepata kihamba hapo. Kwa hiyo kuitetea serikali ni haki yake.
Hata leo amegusia huyo mzungu. Balile by that token hawezi kuona mapungufu ya awamu hii. Just a single issue ya kupata kibanja, amesahau kuwa kuna tatizo na JPM
 
DOFFA

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
425
250
Wanaomkosoa Balile nahisi hawamtendei haki.Walioko pale wote ni waandishi wa habari na haikuwa akili kumnyoshea kidole mwandishi mwingine kwa namna alivyotekeleza kazi yake tofauti na yule aliyekuwa anahoji tu bila yeye kwenda field bali anataka kutumia takwimu za mwenzake.
Dotto namkubali sana kwa anavyomudu kazi yake ,na Psachal Mayalla kwa namna walivyokuwa anaeleza mambo anayoyafahamu.
Ni vizuri sasa waandishi wa habari wakafanya kazi yao ili wanapokuja kutulisha sisi walaji tupate chakula bora chenye virutubisho vinavyotakiwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom