Siasa za Tanzania na mitazamo ya chongolo na Shaka

Asha Ommary

Member
Sep 1, 2020
97
125
Ni mara mbili sasa toka asimame jukwaani kuhutubia tangu alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Danie G. Chongolo pamoja na Ndugu Shaka Hamdu Shaka wameonekana kupokewa vema katika siasa za Tanzania na Demokrasia yake, Je, nini imani yako juu ya matumaini haya?
62e49cb1-eb89-4f22-963f-0d4cefb1cda9.jpg

59611a12-8571-4b13-ac3d-9685db1c60a5.jpg

9c50cbc4-fef1-4a3a-8c43-293e96ba3967.jpg

2d5a45d4-7da0-4b94-8acb-c1636c455e9b.jpg

de9be209-e65f-403b-ab33-e0dfe5eab372.jpg

0c02289c-5b3c-4bbc-9905-714c1568e52b.jpg
 
nsharighe

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
1,246
2,000
Kwa Miaka minhi Tz tulikua tukifanya Siasa za kistaraabu kwa maana ya vyama vyote luwa huru kufanya Op anuai kwa lengo la kuimarisha vyama vyao, Chaguzi za kistaarabu, Kushindana mwa hoja japo Ccm kwa asili mabavi yalitumika kulinda dola japo kwa asilimia Ndogo.

Awamu ya Tano mambo yakabadirika, Uhasama, Chuki, Mabavu na vitendo vya ukandamizaji kwa vyama shindani vikaongezeka tena kwa nguvu maradufu. Vyama vikanyimwa haki ya kikatiba ya kufanya shughuri zao huku Ccm ikipata haki hiyo. Vinyongo kwa Watz vikawa vikubwa sana na Siasa zikakosa mvuto. Unajua kimsingi uhai wa Chama tawala unaletwa na uhai wa Upinzani madhubuti, Ukikandamiza Upinzani basi na Chama Tawala kinadumaa na kupoteza mvuto.

Ccm ya Samia(Rais) Chongolo na Shaka inarudi katika Misingi ya Awali ya siasa za hoja, Masuala na maendeleo huku vyama shindani vikipewa haki, Uhuru kwa mujibu wa katiba. Tutegemee Utamu kunoga katika siasa zetu.
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,100
2,000
Ni mara mbili sasa toka asimame jukwaani kuhutubia tangu alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Danie G. Chongolo pamoja na Ndugu Shaka Hamdu Shaka wameonekana kupokewa vema katika siasa za Tanzania na Demokrasia yake, Je, nini imani yako juu ya matumaini haya? View attachment 1792724
View attachment 1792725
View attachment 1792726
View attachment 1792727
View attachment 1792728
View attachment 1792729
Wakithubutu kuruhusu siasa za ushindani kwa hoja,na kuepuka uhasama na uadui wa kiitikadi,basi watakuwa wanaenda mwendo sawa na Wantanzania walio wengi na mshikamano wa kitaifa utaimarika.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,692
2,000
Awamu ya Tano mambo yakabadirika, Uhasama, Chuki, Mabavu na vitendo vya ukandamizaji kwa vyama shindani vikaongezeka tena kwa nguvu maradufu. Vyama vikanyimwa haki ya kikatiba ya kufanya shughuri zao huku Ccm ikipata haki hiyo.
1621599129602.png
 
Asha Ommary

Member
Sep 1, 2020
97
125
Kwa Miaka minhi Tz tulikua tukifanya Siasa za kistaraabu kwa maana ya vyama vyote luwa huru kufanya Op anuai kwa lengo la kuimarisha vyama vyao, Chaguzi za kistaarabu, Kushindana mwa hoja japo Ccm kwa asili mabavi yalitumika kulinda dola japo kwa asilimia Ndogo.

Awamu ya Tano mambo yakabadirika, Uhasama, Chuki, Mabavu na vitendo vya ukandamizaji kwa vyama shindani vikaongezeka tena kwa nguvu maradufu. Vyama vikanyimwa haki ya kikatiba ya kufanya shughuri zao huku Ccm ikipata haki hiyo. Vinyongo kwa Watz vikawa vikubwa sana na Siasa zikakosa mvuto. Unajua kimsingi uhai wa Chama tawala unaletwa na uhai wa Upinzani madhubuti, Ukikandamiza Upinzani basi na Chama Tawala kinadumaa na kupoteza mvuto.

Ccm ya Samia(Rais) Chongolo na Shaka inarudi katika Misingi ya Awali ya siasa za hoja, Masuala na maendeleo huku vyama shindani vikipewa haki, Uhuru kwa mujibu wa katiba. Tutegemee Utamu kunoga katika siasa zetu.

Nimekuwa nikiwatizama wale tunaowaita “mother of democracy” lakini sijawahi ona wakiendelea na siasa za majukwaani katika majimbo na badala yake ni mijadala katika sehemu fulani na katika media, au nipe shule zaidi katika hili
 
Asha Ommary

Member
Sep 1, 2020
97
125
Wakithubutu kuruhusu siasa za ushindani kwa hoja,na kuepuka uhasama na uadui wa kiitikadi,basi watakuwa wanaenda mwendo sawa na Wantanzania walio wengi na mshikamano wa kitaifa utaimarika.

Sawa sawa na ahadi na msisitizo wa Shaka juu ya siasa safi.
 
Asha Ommary

Member
Sep 1, 2020
97
125
Naona mnajitahidi kuja na Id mpya jukwaani kuja na mapambio ya ccm mpya!baada ya zile id nyingine kupotea kama vile Bia yetu,jingalao etc!!

Kila zama na kitabu chake ingawa haimaanishi kitabu kinachoandikwa sasa hakina uhusiano na kitabu kilichopita
 
Mnywani

Senior Member
Apr 2, 2020
186
250
Kumradhi nitoke kidogo nje ya mada, mbona tangu mama atoe kauli ya kudemka na mijadala ya bunge kukosa afya, spika ameacha kumpa fursa kibajaji kuchangia mijadala ya bunge???? Samahanini lakini.
 
SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
365
1,000
Ni mara mbili sasa toka asimame jukwaani kuhutubia tangu alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Danie G. Chongolo pamoja na Ndugu Shaka Hamdu Shaka wameonekana kupokewa vema katika siasa za Tanzania na Demokrasia yake, Je, nini imani yako juu ya matumaini haya? View attachment 1792724
View attachment 1792725
View attachment 1792726
View attachment 1792727
View attachment 1792728
View attachment 1792729
Ndugu Chongolo na Shaka ni waumini wa mazungumzo yanayotegemea nguvu ya hoja na siasa safi. Ni moja ya teuzi bora kwangu katika awamu ya sita chini ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Asha Ommary

Member
Sep 1, 2020
97
125
Kumradhi nitoke kidogo nje ya mada, mbona tangu mama atoe kauli ya kudemka na mijadala ya bunge kukosa afya, spika ameacha kumpa fursa kibajaji kuchangia mijadala ya bunge???? Samahanini lakini.

Ilikua kuna haja kuzima sintofahamu iliyokuepo kwa wakati huo, sidhani kama kibajaji akiwa na hoja juu bajeti zinazopitishwa atanyimwa fursa, mbona wengine wanazungumza?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom