Dodoki? Sidhani kama Sabaya anasafishika! Hata kama ni mfumo kwanini iwe yeye tu?
Mama ametupa zawadi nzuri ya Eid. Huu ni ushahidi kuwa Sabaya ameumiza watu wengi ndio maana maamuzi ya...
Hamna mradi wowote ulioanzishwa na CCM ukawa Na matokeo mazuri.
1. Uwanja wa Taifa uko mekemeke hope hae, umekongoroka.
2. Ndege ni hasara Kila kukicha
3. Mwendokasi ni majanga
4. Hostel za...
Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na...
SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI
Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali...
Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi...
Habari!
Ni wakati sasa wa nchi kubana matumizi na kuruhusu matumizi matakatifu tu (matumaini yenye tija).
Ni muda muafaka Sasa kwa mabalozi wa Tanzania katika nchi zilizoendelea za Ulaya...
CHADEMA sasa kimekuwa chama kilichokosa muelekeo kabisa maana kimeshindwa hata kueleweka kwa wananchi nia yake ni nini hasa. Hata kama wakipewa dola wanachotafuta ni nini?
Miaka ya nyuma...
Tujenge Nchi moja, viongozi wakitambua nchi ni Mali ya wananchi si Mali viongozi na pia wananchi wawe na maamuzi ktk nchi yao yasiovunja sheria walizojiwekea ili kudumisha upendo, amani, haki na...
" Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna...
Mfumo wa Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini (The Land Transport Regulatory Authority- LATRA). Huafanyi kazi sasa kwa takribani wiki nzima.
Watoa huduma za usafiri wa Ardhini ambao wanapaswa kupata...
Mwanasheria na mwandishi wa habari mkongwe ndg. Paschal Mayala amekitaka chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimalize kwanza kasoro ndogo ndogo ktk katiba yake kabla hakijaanza kutushawishi...
Waheshimiwa wawakilishi, viongozi wa taifa, hoja hii inafikishwa kwenu kwa kile kinachoonekana kuwa hakina mfuatiliaji jijini Dar. Hiki ni ile kero inayowasibu madreva wa magali binafsi...
Kwa miaka ya karibu kumekua na Idadi kubwa ya Wanafunzi wa Post Graduate katika Chuo kikuu Cha Dar es Salaam wanaoshindwa kumaliza masomo yao. Wengi wao ni kutokana na baadhi ya Wahadhiri...
Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro.
Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa Kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili...
Hizo posho walizolipana watumishi wa wizara ya fedha, hazina tofauti kabisa na posho wanazolpiwa wabunge(sitting allowance) wawapo Bungeni.
Tofauti iliyopo ni kuwa posho za wabunge zimehalalishwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amewasisitiza wanachama wa Chama hicho kuendelea kuifanyia...
Kusema ukweli demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zake kwa uhuru kuna raha yake.
Mama Samia rais wetu, wewe tayari ni rais huna cha kupoteza, huhitaji teuzi wala ajira yeyote...
Binafsi nashauri kigezo pekee cha kupata passport kiwe ni kuwa na kitambulisho cha NIDA tu. Tukiendelea na urasimu uleule hatutaitumia hii fursa vizuri. Watu kibao wanafanyabiashara Kenya ila...
Kipindi Cha uchaguzi kuanzia serikali za mitaa Hadi uchaguzi wa madiwani, wabunge na rais kauli mbiu ya CCM ilikuwa Ni kuichagua kuanzia ngazi zote ili maendeleo yapelekwe kwa wananchi. Bahati...
Wana jf,
Nianze kwa kuwapongeza wapiganaji waliobeba siraha zote katika kukabiliana na ugonjwa wa coronavirusi niliowataja hapo juu. Hongera zenu.
Pili , mpiganaji wa kwanza msomi Dr. Magufuri...