Nchi yangu, Taifa letu ni Mali ya wananchi si Mali ya viongozi

Sep 20, 2020
27
51
Tujenge Nchi moja, viongozi wakitambua nchi ni Mali ya wananchi si Mali viongozi na pia wananchi wawe na maamuzi ktk nchi yao yasiovunja sheria walizojiwekea ili kudumisha upendo, amani, haki na umoja.

Huo ndio utakaokuwa urithi bora wa vizazi vilivyopo na vizazi vijavyo.
 
Wajue hii nchi sio ya kuundiwa makundi fb na twitter, hii nchi ni ya watanzania wote bila kujali itikadi, dini, wala rangi zao, hakuna yeyote mwenye hati miliki ya kuwa kiongozi wa watanzania.
 
Bila katiba mpya viongozi wataendelea kutupanda kichwani.

Msione huko nchi za China na Japan mawaziri wanajiuzuri hata baada ya mbwa au kuku kugongwa barabarani ama tetemeko kutokea. Ni kwasabb katiba zao ziko vizuri.

Zinalindwa kwa wivu mkubwa na taasisi imara.

Sisi huku daah!
 
Tujenge Nchi moja, viongozi wakitambua nchi ni Mali ya wananchi si Mali viongozi na pia wananchi wawe na maamuzi ktk nchi yao yasiovunja sheria walizojiwekea ili kudumisha upendo, amani, haki na umoja.

Huo ndio utakaokuwa urithi bora wa vizazi vilivyopo na vizazi vijavyo.
Umeandika nini?
 
Back
Top Bottom