Video: Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Shinyanga. Shangwe na vigelegele vyarindima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,295
2,000
Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .

Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi.

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
29,972
2,000
CHADEMA kinapendwa sana Kanda ya Ziwa

denzelnigga.png
 
Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
591
1,000
Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .

Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona

Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .

Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi

View attachment 1801399
Huu utapeli na wizi wa Mbowe ataacha lini yaani amtukane shujaaa wa Watanzania na ambaye ni msukuma ili yy mchaga apate umaarufu ukweli ni kwamba sisi wasukuma hatutaki wachaga matapeli kama Mbowe tutamalizana naye asituchezee huyu nyoka wa makengeza
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,096
2,000
Huu utapeli na wizi wa Mbowe ataacha lini yaani amtukane shujaaa wa Watanzania na ambaye ni msukuma ili yy mchaga apate umaarufu ukweli ni kwamba sisi wasukuma hatutaki wachaga matapeli kama Mbowe tutamalizana naye asituchezee huyu nyoka wa makengeza
Acha kuendekeza ukabila,ukanda na migawanyiko Tanzania ni yeti wote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom