Karibu afande Jumanne Muliro katika mkoa wetu wa Dar es salaam.
Tunaelewa utumishi wako uliotukuka uliowezesha amani kutamalaki mkoani Mwanza. Ni imani yetu unatuletea amani katika mkoa wetu huu...
Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea.
Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi...
Kuna swali nimejaribu kujiuliza kuhusiana na siasa zetu za Tanzania, mara nyingi vyama vimechukua hatua tofauti tofauti kwa wanachama wao.
Lengo kuu la hatua hizo ni kudumisha nidhamu ya chama na...
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma mzee Muroto amesema jiji lake liko lipo shwari na wamejipanga vilivyo kuwalinda wageni wote wanaokuja kwenye sherehe za kuapishwa Rais Magufuli.
RPC Muroto...
Watu watatu waliokuwa wakimfuatilia mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ndg. James Mbatia wakiwa na gari aina ya Toyota Prado namba DFP 788 wamekamatwa na Jeshi la Polisi...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira ameshutumu vikali kitendo kilichofanywa na vijana wahuni wanaodaiwa kukodiwa na kuushambulia kwa mawe msafara wa mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu...
Rais Mwinyi juzi alikuwa kwenye mkutano huko akazungumzia suala la kuagiza chanjo ya corona. Amefanya Jambo zuri kwa kuwa ameshauriwa hivyo na wataalam.
Niweke wazi Mimi namkubali huyu raisi na...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amewataka wabunge 19 wa viti maalum waliokuwa wanachama wa chama hicho waliopo bungeni, kujitokeza hadharani...
Leo hii mwenyekiti wa maisha wa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania ameanza kuzunguka nchi nzima eti kuimiza ujenzi wa ofisi za chama katika wilaya, makata na matawi, wakati...
Leo mkurugenzi wa JamiiForums amefanya mahojiano kwenye kipindi cha Clouds 360. Pamoja na mambo mengine ameongelea suala la hofu ya kuingia matatani na kusema ameshaingia mara kadhaa na haijawahi...
Mhe. Waziri Mkuu tunalojukumu lakukushirikisha wasemavyo Watumishi wa umma hasa waliopo wizarani na kwenye Idara za serikali, naamini ninachokiandika hapa unakifahamu ila najaribu kukirudia...
Serikali imesema ni ukweli usiopingika kuwa maeneo mengi yenye magereza pamoja na majeshi yamekuwa na migogoro na wananchi wanaoishi jirani kuhusiana na umiliki wa ardhi.
Waziri wa Mambo ya Ndani...
Nimesafiri Huko chunya mkoani Mbeya kibiashara mara kadhaa kibiashara, kuna mgodi mmoja unakusanya dhahabu balaa lakini hauna impact yoyote kwenye hii nchi. Naomba kuuliza, sio kwa kuusemea ila...
Binadamu wana tabia ya kinafiki sana, wanacheka na wewe na kukushauri Kisha wanautoa ushauri wao nje kwenda kukuangamiza. Tangu aingie mama Samia suluhu uvujaji wa Taarifa umepungua Jambo...
Nimeangalia kwa upana makosa au tuhuma zilizoibuliwa na wananchi dhidi ya Sabaya, nyingi ya tuhuma zinaangukia Polisi isipokuwa tuhuma za Mali na fedha ndo zinaangukia TAKUKURU.
Kinachonishangaza...
Dear Robert Amsterdam
Greetings from the land of Mwl.Julius Kambarage Nyerere.
I am writing in connection with your company's association with Tundu Lisu, the Chadema presidential candidate for...
Ninaamini Kusambaratika kwa kiwanda cha kusafisha mafuta hapa Tanzania lilikuwa ni shinikizo la wafanya biashara na ushauri wa benki ya dunia (World Bank).
Wenzetu kama Zambia walitupilia mbali...
Nimepigiwa simu nyingi juu ya bandiko la mtu anayejiita shetani mweusi akijinasibisha kuwa mimi na kwamba napongeza rasimu iliyosomwa na fisadi Andrew Chenge hapo jana.Nianze kwa kusema sio...
Wamachinga katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wamekuwa wakidemka demka kwa kuamini hawawezi kuguswa kwasababu wao ndio ngome kuu ya ushindi wa chama tawala yaani...
HOTUBA YA MBUNGE FREEMAN MBOWE KWA UFUPI
Nimezungumza na Rais kwenye simu nimemuambia tafadhali shirikisha Jamii pana ya Watanzania ili jambo tulibebe wote, huu ni msiba na msiba haachiwi Mtu...