Je, Wamachinga bado ni mtaji wa Wanasiasa au waanze kufuata sheria bila shuruti?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Wamachinga katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wamekuwa wakidemka demka kwa kuamini hawawezi kuguswa kwasababu wao ndio ngome kuu ya ushindi wa chama tawala yaani CCM.

Ndio nauliza, hivi Wamachinga bado ni mtaji wa wanasiasa?
 
Back
Top Bottom