Taasisi ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita imemrejesha kujenga upya barabara ya Makurugusi kwenda Musasa wilayani Chato yenye urefu wa Kilometa moja na nusu kwa gharama zake baada ya...
Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya...
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa...
Katika kipindi cha Awamu ya Tano ya Mwendazake, Rais Magufuli wananchi tulielezwa nchi yetu ipo kwenye vita vya kiuchumi haswa na nchi zilizoendelea [Mabeberu}. Kwenye ugonjwa wa COVID-19...
Ndugu zangu,
Siasa za bongo haziishi vituko,leo wafuasi kindakindaki wa Chadema wametumpilia mbali Lissu wameamua kumpambania Manji.
Ama kweli msemo wetu waswahili ya kwamba "ajizi nyumba ya...
Wakati Mhe. Rais anaingia Madarakani aliwataka watendaji wa serikali kufanya tathimini kuhusu aina ya mifumo inayohitajika serikalini na kuboresha ufanisi.
Juzi Kati Tanesco walipata matatizo...
Mtaanza sasa Kutulazimisha kuamini kuwa Watu wa Jinsia fulani si ' Competent ' kwa nafasi ya ' Head of State ' na akina GENTAMYCINE tukiamini hivyo msituchukie au msianze ' Kutubatiza ' Jina lenu...
Ridhwani Kikwete: Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo...
Sisi sote ni Wazanzibari licha ya tofauti zetu, na hapa ndiyo kwetu – Othman Masoud
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Fedha. Amefanya hivyo ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya Fedha...
Waacheni CCM waseme usiku watalala huku upinzani hakuna kulala; tunafahamu Samia hagombei, hili halina utata anawaachia Watanganyika zigo lao.
Timu zilizopo CCM ni nyingi na kila moja ina mtu...
Kwanza kabisa mtambue kuwa mnatumia kodi za Watanzania kufanya shughuli zenu. Kwa hiyo kufanya maigizo yasiyo na kichwa wala miguu sio jambo jema.
Sakata la Mbowe kujilipa bil 8 liliwekwa wazi na...
Wajuzi wajaribu kuelewesha mama leo akiwaapisha ma-RAS na viongozi wengine ameshauri kuwa tusing'ang'ane na sheria tu hadi hata kama mtu amekuja na mtaji wake anashindwa eti kwa kuwa sheria...
Siku ya jana Spika Ndugai alimtoa nje Mbunge mmoja kwa kosa la kuvaa mavazi anayosema kuwa yapo kinyume na maadili ya Bunge , cha ajabu watanzania wengi wakashikilia hili jambo kama vile lina...
Sakata la kutolewa nje kwa mbunge wa Momba, Condester Sichwale (CCM) kuhusu mavazi, limeibuka tena leo jioni katika kikao cha Bunge baada ya wabunge wanawake kutaka aombwe radhi na aliyetoa hoja...
Moja kwa moja nimpe mama Samia hongera kwa kurekebisha makosa yaliyofanyika kwenye teuzi za makatibu tawala na zile za wakurugenzi wa mashirika mfano ile teuzi ya DG wa TPDC.
Ni wazi Kuna majina...
Tuliambiwa kaahirisha shughuli na ziara za kimataifa ili ashighulikie janga la tetemeko la ardhi Bukoba na Mwanza, Lakini huku Bukoba Hatujamwona/Hajafika!!
Rais John Pombe Magufuli alighairi...
Inakuaje Halmashuri yako unakuwa na hati chafu katika report ya CAG halafu kabla hujajibu hoja inawezekana ukapandishwa cheo?
Kuna hati isiyo na Shaka, hati yenye mashaka, kushindwa kutoa...
Spika wa Bunge amemfukuza mbunge kwa kutokuvaa mavazi yenye maadili kwa Bunge .
Ili kuepusha hilo nashauri wabunge nao waamue kuvaa majoho kama wafanyavyo madiwani kwani uamuzi huo utakuwa ndio...
Ninampenda sana Rais wetu Mama Samia ila ninaomba kumsahihisha kuwa rais ni binadamu huwa anakosea.
Tukianzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Marehemu na yeye mama mwenyewe tukisema...