Rais Samia: Kilimanjaro Wakuu wa Wilaya walimsumbua sana RC Mghwira wakidai Rais amekosea kuteua

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,445
Rais Samia amesema Rais hafanyi makosa katika kuteua kutoka wafuasi wa vyama vya upinzani.

Rais Samia amesema kuna wakati wakuu wa wilaya pale Kilimanjaro walikuwa wanamsumbua mama Mghwira kwa madai kuwa hayati Magufuli alikosea kumteua.

Rais hakosei, amesisitiza mama Samia.

Uzi huu ni angalizo kwa DC Kasesela asije kujisahau kama Ole sabaya na kuanza kumnyanyapaa mama Queen Sendiga kwa vile tu ametokea upinzani, awe mwangalifu.

Kazi Iendelee!
1622635338683.png
 
Rais asikosee kwani yeye Mungu? Rais aache kuheshimu Katiba, Bunge, Mahakama afanye udikteta, dhuluma na udhalimu ikiwemo mauaji halafu Wananchi tukae kimya tu eti Rais huwa hakosei!? 😳😳😳Hebu acha kuandika upuuzi!!!
Kwa katiba yetu hakosei na ndio maana akapewa kinga kisheria hayo mambo ya yeye kutokua Mungu unayajua wewe.
 
Back
Top Bottom