Mapato TRA yapaa

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,919
2,000
Kumbe mapato yamepanda kipindi hiki? Mwenye source tunaweza jua yamepanda kwa kiasi gani mwezi May?

IMG_20210606_072732.jpg
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,209
2,000
Rais SSH amewataka viongozi anaowateua kutimiza majukumu yao kikamilifu ikiwa ni pamoja na kusimamia vema mapato ya halmashauri.

"Nyinyi ni wasimamizi wa shughuli zote za kiutendaji katika mikoa yenu, kwahiyo mna kazi kubwa ya kwenda kuifanya huko muendako, hii maana yake ni kwamba viongozi wote wa serikali wako chini yenu...zaidi ya hapo nyinyi ni kiungo muhimu kati ya serikali za mitaa na serikali kuu, MADED wote nyinyi ndio viongozi wao, wanakutazameni nyinyi mna kazi kubwa ya kwenda kufanya ikiwemo ya kusimamia mapato"- Rais Samia.

Kwa kauli hiyo hakuna shaka mapato yataongezeka na matumizi yake yatasimamiwa kikamilifu. Swali Je, hao wateule hawatamwangusha? ikizingatiwa kuwa wengi wetu hutafuta mwanya kutekeleza mambo yetu binafsi!
 
kipande

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
2,002

Yaani mapato yanaweza kupaa kwa kauli tu ya mwanasiasa na siyo mikakati.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,977
2,000
Kumbe ukiwa na kazi na upo jamii forum na jina fake unakuwa unafahamu huyu ni jobless na huyu ana kazi nzuri ?

Hongera kwa kuwa na kazi nzuri ya kuwatambua majobless.
Sawa. Na wewe tafuta kazi ikuweke busy upunguze umbeya na kuabudu wanasiasa kwa mambo ambayo hayakusaidii kwa lolote.
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,209
2,000
Yaani mapato yanaweza kupaa kwa kauli tu ya mwanasiasa na siyo mikakati.
Maagizo ya Rais, mama SSH, kwa watendaji wake yana nguvu kwa kauli na vitendo. Kama unafuatilia mienendo ya hao wateule utakubaliana na mimi kwamba kwa sasa wanajituma zaidi huru kiutendaji kuliko hapo awali ambapo woga uliwatawala.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom