Manji aachiwa na TAKUKURU kwa dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,635
218,067
Hii ndio taarifa mpya kutoka kwenye magazeti ya Tanzania , bado haijafahamika kama ameachiwa moja kwa moja au analiwa timing , bali ifahamike kwamba ni wachache wanaogusa ofisi ya TAKUKURU Wakatoka salama , kuna mmoja tayari yuko Kisongo

3777919B-4901-441D-AE6F-A5834B14664A.jpeg
 
TAKUKURU sasa inaonesha hawafanyi kazi kwa shindikizo au mbinyo bali wanafuata taratibu na kanuni mpaka watapomaliza suala hili.

Hii ni hatua Mpya katika namna ya taasisi hii muhimu ya utawala bora Tanzania inavyochapa kazi zake kipindi hiki cha serikali ya awamu ya sita.
 
Kipindi cha mwendazake TAKUKURU kilikuwa chombo cha kukomoa watu waliopishana naye, ni suala la muda tu akina Seth wataachiwa, ndiyo maana mwendazake alikuwa anapenda kuweka wanajeshi kwenye hizi taasisi ili kutisha watu. Manji karudi siyo kwamba yeye ni mjinga bali amehakikishiwa usalama wake, na hata kama kuna kesi dhidi yake basi zitafuata utaratibu na sio shinikizo kutoka kwa yeyote
 
Na dunia inafuatilia kuona uwazi na haki katika taasisi hii ya TAKUKURU / PCCB Nyumbani kutenda majukumu yake.
 
Kwahiyo najiuliza kama takukuru ilikua na kesi ya kumshataki manji mbona hawakumfuatilia kuke alipo nje ya nchi, ina maana watu wakitoroka nchini wanakua salama zaidi na ni ngumu kuwashitaki? Tangu 2018 leo mnakuja kufufua kesi baada ya muhusika kurudi nchini
 
Binafsi nafsi inanituma kuamini kuwa Manj siyo mtu wa kukurupuka.

Manj aliamua kurudi Tanzania baada ya kufanya mazungumzo ya kutosha na kujiridhisha kuwa atakuwa salama.

Haya yanayoendelea ni mambo yapo kimkakati na yanajulikana kwa wahusika wa pande mbili.
 
Kwahiyo najiuliza kama takukuru ilikua na kesi ya kumshataki manji mbona hawakumfuatilia kuke alipo nje ya nchi, ina maana watu wakitoroka nchini wanakua salama zaidi na ni ngumu kuwashitaki? Tangu 2018 leo mnakuja kufufua kesi baada ya muhusika kurudi nchini
Mange Kimambi
 
TAKUKURU sasa inaonesha hawafanyi kazi kwa shindikizo au mbinyo bali wanafuata taratibu na kanuni mpaka watapomaliza suala hili.

Hii ni hatua Mpya katika namna ya taasisi hii muhimu ya utawala bora Tanzania inavyochapa kazi zake kipindi hiki cha serikali ya awamu ya sita.
Shindikizo ndio nini?
 
Kama kutakuwa na maswala ya msingi (outstanding issues) tuache yafanyiwe kazi kwa manufaa ya Umma .

Kwa mfano iwapo itathibitika halipokodi stahiki sheria ichukue mkondo wake.

Isiwepo Public sympathy yoyote!
 
Back
Top Bottom