Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya...
Tokea nilipotoa ilani asiwe anapokea mic na kuzungumza wakati wa ziara ili kuepuka vituko vilivyotokea alipotembelea Hospitali, maana vile ni vituko vya mwaka, alimaka alipoambiwa hapa...
Uwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua...
BUNGENI: Mbunge Joseph Kasheku Musukuma amesema Machinga anaposumbuliwa na kuharibiwa Biashara, Taasisi za Kifedha nazo zinaharibiwa.
Amesema, "Kuna watu wako pale wana mikopo, wamekopeshwa wana...
Nimesikia ni Mzanzibar, ndugu yake na Makamu wa Rais, Samia Suluhu
Dada hawezi kujibu maswali ya wabunge anayoulizwa papo kwa papo, hadi spika anaona aibu na kuwaruhusu mawaziri wengine wamsaidie
Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa alizaliwa Masasi, Mtwara 12/11/1938 alisoma Shule ya Msingi Ndanda kisha shule ya Sekondari Pugu, Dar
1962 alipata shahada ya kwanza katika Lugha ya Kiingereza...
Miaka ya huko nyuma Umoja huu wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ulisifika sana kwa kuandaa viongozi bora , wenye weledi na uongozi, wenye maarifa, uzalendo na nchi yao, wachapa kazi na...
Habari wadau!
Leo nimevaa viatu vya baba yake Sabaya nikaona havinitoshi nikajaribu vya mdudu ndio kabisa.
Kama una mtoto unajua vipi mtoto anavyouma, tuwaombee vijana wenzetu wapate haki...
Huwa nafuatilia komenti za wanajukwaa mbalimbali kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli,wengi hushangaa kwanini Rais Magufuli ana ulinzi mkali kiasi hicho,na wengi hujaribu kuulinganisha na wa awamu ya...
Leo November 5, 2020 anaapishwa Dkt. John Magufuli kumalizia Muhula wake wa mwisho kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika October 28 mwaka...
Vijana Wenzangu Rais wetu Mpendwa Mhe Samia Suluhu Hassan ametoa nafasi ya kipekee na adhimu ya kuongea na Vijana wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza yapo Masuala mtambuka (Cross cutting...
UMUHIMU NA ULAZIMA WA KUWA NA TUME HURU ZA UCHAGUZI, MAPITIO YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA YA JMT;
UCHAMBUZI (CASE STUDY) KWA MUKHTASARI;
IDARA imekusanya taarifa za kutosha na kufanya...
Hii ndio Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya iliyosambazwa leo.
Kwamba yule kijana Mkulima wa jembe la mkono wa Mbozi ambaye pia ni mpigania Uhuru Mdude Nyagali aliyepewa kesi ya madawa...
Hakika inashangaza sana kwa viongozi wetu wa dini kukaa kimya juu ya suala la katiba mpya. Viongozi wa dini wameshuhudia matumizi mabaya ya katiba iliyopo yalivyofanywa na mwendazake.
Watu wengi...
Mzozo unaofukuta ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) unatokana na tofauti baina ya baadhi ya wanachama na si jambo linalohusu sera au itikadi ya chama hicho.
Mwanachama wa siku...
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo...
Na Mwandishi Wetu,
Kutoka Tanga.
-Wataka Rais Samia Asishinikizwe kukutana nao
Mwandishi wetu Tanga.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kitaendelea kutoa mwelekeo wa siasa na uongozi wa...
Kwa mara ya kwanza since 2016 leo nimeona bendera ya CHADEMA inapeperushwa sehemu ambayo Rais anahutubia, heko Mama samia, juhudi zako za kuirudisha demokrasia iliyominywa kwa kipindi hicho...