Eti huyu dada Unaibu Waziri wa Fedha kapewa kwa kujuana ndio maana hawezi kujibu hata maswali ya Wabunge?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,558
2,000
Nimeshindwa kumsikiliza mpaka mwisho maana naona aibu Mimi.

Hivi huyu jpm na CCM yake wanatutafuta maneno nchi hii? Mbona huku ni kudharauliana? Tena mtu kama huyu wizara ya fedha? Wizara ambayo ndio engine ya uchumi na maisha yetu?
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
6,782
2,000
Tatizo ni anxiety ya public speech, haina uhusiano na 'usomi' wake,ndio maana mbunge msukuma yeye pamoja na kutokua msomi bado ana confidence ya kuongea ilhali huyu hawezi, nachotaka kusema ishu sio usomi ni confidence/Anxiety.
Huyu Mh. Mwanaidi ana changamoto nyingi. Na kiufupi amewekwa kwenye hiyo Wizara kama picha tu, kwa kubebwa au kwa lengo tu la kutengeneza uwiano. Ila anaonekana wazi hana uwezo.

Hata siku ya kuapishwa kwake, alibabaika sana! Alishindwa hata kutamka "Baraza la Mawaziri" na badala yake akasema "Baraza la Mapinduzi" Mwenzake wa Lindi aliondolewa na mwenye nchi, ila yeye aliachwa!!
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
12,845

Duh, nimeisikiliza tena hio clip...mweeeehhhhhhhhhh watanzania kazi tunayo.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
4,538
2,000
Tatizo ni anxiety ya public speech, haina uhusiano na 'usomi' wake,ndio maana mbunge msukuma yeye pamoja na kutokua msomi bado ana confidence ya kuongea ilhali huyu hawezi, nachotaka kusema ishu sio usomi ni confidence/Anxiety.
Kama tatizo ni kuongea mbele za watu mwambie awe anaongea huku anatazama chini, kama kichwani hamna kitu there is no way out!.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom