ndenjii handsome
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 647
- 704
Nina kazi nyng za kufanyaheading nzuri ila sasa ulichoandika zaidi ya utumbo
Naafikiana nawe 100%heading nzuri ila sasa ulichoandika zaidi ya utumbo
Naafikiana nawe 100%
Nilidhani ataiambia jamii ya watanzania ni namna gani tunaondoka tulipo kwenda pengine kwa kusahihisha makosa na hasa la kuwa na wabunge wachumia tumbo na kujilipa mishara na marupurupu manono huku huduma za jamii zikizorota
Umeniwahiheading nzuri ila sasa ulichoandika zaidi ya utumbo
Sawa mkuu naomba peni na karatasiJifunze kuandika mkuu
Lengo lako lilikuwa nzuri shida umeshindwa kuandika point
Tetetete
Wananchi wamelazwa sio wamelala^Wananchi mmelala sana; kazi kutoa lawama tuu...^
Nawe pia ^kazi kutoa lawama tuu^