Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,542
Reaction score
7,377
Ndani ya dk 10 kumesika milio miwili mikubwa ya bomu/mizinga na fyatuko za risasi. Hadi bati/paa zinashake. Sijajua ni nini kimetokea tena huko mujini. If anythng i will come with more update.

UPDATE:

Nimeongea na ndugu yangu mmoja mwanajeshi kaniambia hao ni polisi walikuwa wanawatawanyisha makundi ya watu usiku ule, nikamuuliza mbona yalikuwa na mshindo mkubwa akasema ni aina nyingine ya mabomu na kiukweli hayakuwa kutoka jeshini, kasema hawana haja ya kufanya hicho kitu hao wanajeshi.

Ila kuna meseji ziinasambaa zinasema kuna Lori 4 za Jeshi zilifika jana toka Daslam, zikafyatua mabomu 4 pale lindi halafu zikaja mtwara, sasa labda ni hao kuonyesha ujio wao wakafyatua hayo mabomu.
 
Jk kamtuma nchimbi na mwema.kutisha watu na mabomu lkn issue ya mtwara inahitaj kukaa chin na kutafakari na kuja na mawazo mapya ccm wamelea matatizo yamekuwa makubwa wansingizia cdm mimi ni mwanachama hai wa ccm ila kwa hili sikubaliani nalo
 
Ndani ya dk 10 kumesika milio miwili mikubwa ya bomu/mizinga na fyatuko za risasi. Hadi bati/paa zinashake. Sijajua ni nini kimetokea tena huko mujini. If anythng i will come with more update.

ccm wapo mazoezini msihofu kifo hakikatiwi rufaa
 
Hata mimi ndugu yangu anapiga simu sasa hivi anasema tuwaombee hawajui usalama wao,kila mtu nyumba yake imetikisika anasema marafiki zake wote wanasema kishondo cha mabomu haya si cha kawaida , nasikia wananchi wameapa kurudisha kisasi kwa kifo cha mwanamama mja mzito ambaye mumewe yupo ndani
 
Nguvu kubwa ya kijeshi katika kutatua matatizo ya wananchi inawafundisha kugoma zaidi hata katika yale ambayo yangewezekana nyie ccm ole wenu
 
Watawala wanaamshwa. Walidhani Mtwara watu wamelala.
Gesi haitoki huo ni mwanzo tu !

Na wachina wao waanze kufungasha !
 
Dah!hi ni hatari sasa M/Mungu atuepushhie mbali na haya yanaytokea sasa
 
our brothers in mtwara have been treated as social waste for long enough nothing can stop this wake up call from ringing
 
Ndani ya dk 10 kumesika milio miwili mikubwa ya bomu/mizinga na fyatuko za risasi. Hadi bati/paa zinashake. Sijajua ni nini kimetokea tena huko mujini. If anythng i will come with more update.

hv bibi yule aliyetaka kugeuza gas kua maji yuk0 wp tena?
 
Jamani ni mabomu asilia hadi hivi sasa mizinga km 4 imetikisa ardhi.si mchezo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom