Yuko wapi Humphrey Polepole?

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
489
1,000
Wakuu,

Ni kitu mbaya sana kijana mdogo kama Polepole kustaafu katika umri ule, mwili bado unadai na nguvu ya kusumbua watu ipo

Tangu kutenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu uenezi, Polepole hajapata kuonekana popote pale.

Si vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii, amepotezwa kishamba kwelikweli.

1623140857556.png

sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,571
2,000
Wakuu
Ni kitu mbaya sana kijana mdogo kama Polepole kustaafu katika umri ule..mwili bado unadai na nguvu ya kusumbua watu ipo

Tangu kutenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu uenezi, Polepole hajapata kuonekana popote pale.
Si vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii, dogo amepotezwa kishamba kwelikweli
Polepole usiwe na haraka
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,062
2,000
Wakuu,

Ni kitu mbaya sana kijana mdogo kama Polepole kustaafu katika umri ule, mwili bado unadai na nguvu ya kusumbua watu ipo

Tangu kutenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu uenezi, Polepole hajapata kuonekana popote pale.

Si vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii, amepotezwa kishamba kwelikweli
Yeye sahivi ni mbunge wa viti maalum
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,003
2,000
Wakuu,

Ni kitu mbaya sana kijana mdogo kama Polepole kustaafu katika umri ule, mwili bado unadai na nguvu ya kusumbua watu ipo

Tangu kutenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu uenezi, Polepole hajapata kuonekana popote pale.

Si vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii, amepotezwa kishamba kwelikweli
Yupo hoi bin taabani
 
Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,556
2,000
Wakuu,

Ni kitu mbaya sana kijana mdogo kama Polepole kustaafu katika umri ule, mwili bado unadai na nguvu ya kusumbua watu ipo

Tangu kutenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu uenezi, Polepole hajapata kuonekana popote pale.

Si vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii, amepotezwa kishamba kwelikweli
Aonekane wapi mkuu!!! Labda awe mpinzani bungeni agonge meza na mishipa ya uso imtoke akiongea hoja!!!! Kwisha habari yake!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom