Mh. Rais Kikwete Akiwa Ziarani Jamaica: Picha ya kukumbukwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Rais Kikwete Akiwa Ziarani Jamaica: Picha ya kukumbukwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Nov 25, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,905
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  President Jakaya Kikwete and his wife, Salma Kikwete and Minister for Tourism in Jamaica, Mr Edmund Bartlett (right) and Chairman of the Mystic mountains conservation, Mr Horace Clarke, touring the hills facing the tourist attractions in St. Ann region, in Jamaica.
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Sasa hii ni balaa, yule mpambe wa JWTZ yu wapi jamani!!!!
  Kwenye niti simwoni.
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Full kujiachia mtoto wa Kikwere
   
 4. M

  Mkuu Senior Member

  #4
  Nov 25, 2009
  Joined: Jan 1, 2007
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa hakika urais umefika ulipokuwa unatakiwa
   
 5. M

  Mukubwa Senior Member

  #5
  Nov 25, 2009
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 124
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tungeweza kuweka vivutio kama hivi nasisi mlima k'njaro
   
 6. l

  lukule2009 Senior Member

  #6
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Rais Jakaya na mkewe Salma wakibembea hewani kutalii vivutio nchini Jamaica pamoja na Waziri wa Utalii nchini humo,Edmund Barlett (kulia) na Horace Clarke, mmiliki wa bembea hilo lipitalo meta 50 hewani umbali wa kilometa mbili.
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ukileta habari/jungu hakikisha imekamilika... hizo km 2 ni tokea wapi?
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,584
  Likes Received: 18,567
  Trophy Points: 280
  Mama nae mara moja moja avae casual kama Michelle wa Obama, japo simaanishi kakaptula, bali simple, loose and free, jamani hata kutalii na kitenge!.
   
 9. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo liko kwa mzee anajiangalia Mwenyewe.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,480
  Likes Received: 19,872
  Trophy Points: 280
  sasa kile kitenge halafu upepo uje pale nani atalaumiwa? au mkulu anafikiri ile mijamaa aliyokaa nayo pale ni mizungu? wal ni waafrica pure
   
 11. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mwacheni jamani, hata mavazi mumchagulie. Sasa wabongo mmezoea udikteta.
   
 12. C

  Chuma JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mentality za Kikoloni ni vigumu kututoka...Hadi mavazi muige...? Tumekuwa Nyani?
   
 13. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Hizo bembea zina usalama gani kwa Rais wetu? kwa mfano akitembelea Obama au Medvedev au Brown au Rais mwingine wa mataifa makubwa (yenye nguvu) watampandisha kwenye hizo bembea? kwanini wasingetumia helkopta?
   
 14. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Another day another public relations blunder

  hii picha itatumika kila wakati ma critics wanataka kumkandia Bosi


  my patience is running out na yule SALVA na naona sasa its about time for me to go ROGUE

  this is stupidity at its best.


  meanwhile in Obama Land...

  [​IMG]
   
 15. T

  TrueVoter JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 873
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 80
  ..hope this type of advice would sense if you give it to your wife or your br's wife!!!halaf kwa nn kila mara kuiga na kujilinganisha na watu wengine???hata kwa mambo personal??

  Kichwa chako kina matatizo, meza valium 2 kila cku may b zitapunguza tatizo.
   
 16. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Tatizo sio mzee.Ni wale wasaidizi wake na washauri wake hasa upande wa mavazi na urembo kwa ujumla.Vinginevyo kama na yeye ni mbishi wa kupokea "ushauri" kama mumewe.
   
 17. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Wanaenjoy kwenye bembea wenyewe!!!Basi rais ukirudi home, waambie waweke bembea kwenye public school ili watoto nao waenjoy kama wewe ulivyoenjoy.
   
 18. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tusimsakame 'Mama wa Kwanza' bila shaka alipovaa hakujua kwamba kuna kupandishwa kwenye bembea. Hata hivyo amekuwa akilipa heshima taifa letu na pia kuwapa heshima wanawake wote kutokana na mavazi ya heshima anayopenda kuvaa. Rais Kikwete ni wa aina yake siwezi kupiga picha Mwalimu, Mzee Mwinyi, Mkapa wanakubali kupandishwa kwenye bembea! Wala sikutegemea kwamba Walinzi wake wangeweza kumuachia afanye hivyo!
   
 19. D

  Don Cicci Member

  #19
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  true!!!!
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Angefanya hivyo kwenye ziara binafsi sawa...hii ni ya kitaifa..angepanda sanasana Mwangunga...sijui kama kaenda nae
   
Loading...