Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari ndugu Wana JF Nimekua nikifuatilia habari na matukio yanayoendelea hapa nchini kiukweli nimpongeze Rais wetu Samia kwa kuamua kuongoza nchi kwa kutumia Sheria na utawala bora. Wote...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Chalamila alitoa ruksa kwamba tunaweza kubeba mabango kumkaribisha Raisi na kuandika chochote, hata tusi. Chalamila kaondolewa, lakini sijasikia serikali ikibatilisha tamko hili la ruksa. Nadhani...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana...
7 Reactions
58 Replies
6K Views
Inauma sana! Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mtu aliyeko ktk dunia hii Wananchi hasa walalahoi wamekuwa kama ni shamba la Bibi, walaji wa mavuno hayo ni hao wanaowapangia wananchi kulipa Kodi za...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Hakika niliposikia Rais Samia anavitamkia Vyombo vya Dola juu ya Wananchi Kubambikiziwa KESI nilitarajia Kuona KESI zote za Uchaguzi Mkuu zingefutwa kwani Kesi hizo Ziliandaliwa na Watawala Chini...
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dsm muda wakusoma majalada umekwisha, Toka nje utuambie upi msimamo wako kwenye mambo yafuatayo na Nini tufanye Kama wananchi? 1. Unajua Trafiki wamekuwa kero barabarani na...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Huwa napenda kukaa chini na kuangalia namna wenzetu duniani wanafanya nini, ambacho na sisi tunaweza kuiga kwa manufaa ya taifa letu. Kuanzia February mwaka huu, nchi ya Italia imekuwa ikiongozwa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Serikali ya CCM imekuja na style mpya ya wakuu waliomo serikalini au tuseme serikali iliyoundwa na CCM inastyle ya kupanga ziara ,mkae mkielewa hakuna cha ziara wala matembezi ni namna ya kula...
1 Reactions
6 Replies
607 Views
Joshua Nassary pamoja na Steven Masele Ni baadhi ya vijana ambao wakitumiwa vyema wanaweza kutusaidia kusogea mbele. Mmoja alisaliti Chadema lakini mwingine alisimama Imara ila chuki binafsi na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
YANAYOENDELEA WILAYA YA HAI NI MKAKATI MAALUMU UMEPANGWA Kwanza Niseme Jambo Moja Mliopo Nje Ya Wilaya Ya Hai Hamjui Kinachoendelea Huku Haya Masuala Naomba Mzingumze Kisiasa Sisi Wananchi...
5 Reactions
308 Replies
24K Views
Kuna watu wanataka kuuaminisha Umma kuwa Rais Samia Suluhu hakosei. Hawa watu kwa kuendelea na upuuzi ule ule kwa waliokuwa wanazi na mashabiki wa Magufuli ambao nao walikuwa wanataka kuuaminisha...
27 Reactions
57 Replies
5K Views
Mwezi May mwaka jana, Freeman Mbowe alisafiri kutoka Moshi kwenda Dodoma. Alipofika Arusha gari yake ikapata hitilafu kidogo. Akapiga simu ikaletwa gari nyingine, na ile ya awali ikapelekwa garage...
45 Reactions
105 Replies
12K Views
Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM. Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Viongozi wa dini kemeeni, wanasiasa kemeaneni. Msiba miaka yote haujawahi kuwa na itikadi wa chama ni wetu sote. Mmezalisha tabia ya kuvunja mashirikiano kwa sababu ya awamu na Matakwa ya...
0 Reactions
4 Replies
738 Views
Leo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anafanya ziara yake Mwanza ,anafanya uzinduzi wa viwanda na kutembelea miradi mikubwa ya kimkakati Kilichonifanya kuandika uzi huu ni pale...
2 Reactions
6 Replies
763 Views
Katika hali isiyo ya kawaida kwa TBC, Leo kaalikwa mwanasiasa mkongwe Mzee Wasira katika kipindi cha NIPE TANO. Hakika TBC Leo mmemtendea haki Wasira. GANGANA umerusha makombora mengi sana ya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Bajeti ya nchi imesomwa siku ya Alhamisi na jana katibu mkuu kaichambua kwa kiasi alichoweza ingawa naona ameichambua kisiasa kuliko kihalisia. Pamoja na mapungufu ya Zitto Kabwe lakini ndiye...
2 Reactions
5 Replies
706 Views
Natambua wanafanya kazi kubwa lakini hii dosari ya wao kuomba rushwa waziwazi inapaswa ikemewe na wewe Ili wananchi tuwe vifua mbele hata kutuomba rushwa wataogopa. Hawa ndio mojawapo ya kundi la...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Nilimsikia waziri wa fedha akisema, kwa ajili ya kukuza kilimo cha umwagiliaji vikundi vya skimu za umwagiliaji, vitatozwa ada ya kuendeleza miradi ya umwagiliaji. Hivi ni kweli kwamba serikali...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakurugenzi hao walishindwa kujibu swali kwenye mkutano leo kuhusu kiasi gani cha fedha kilichotengwa kwa ajili ya road fund Kujua Kilichojiri kwenye mkutano huo, soma=>News Alert: - Mkoani...
9 Reactions
464 Replies
72K Views
Back
Top Bottom