Wajumbe wa CCM wapitisha jina la Mgombea Ubunge jimbo la Konde

G-Mdadisi

Senior Member
Feb 15, 2018
157
99
Wajumbe wa Jimbo la konde wamepitisha jina la Shekha Mpemba Fakhi kwa kura 17 kuwania kiti cha ubunge kupitia Jimbo hilo kwa tiketi ya CCM na kuwazidi wapinzani wake wote 11. Nafasi hiyo imebaki wazi kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Khatibu Said Haji (ACT Wazalendo).

Kura zilizopigwa -65

Kura Halali -64


Abdallah Said Abdallah-07

Omary Seif-06

Shekha Mpemba Fakhi-17

Mbarouk Amour Habib-08

Masoud Ali Humud-02

Ismail Ali Juma-03

Abdi Mzee Kitwana-01

Zubeir Idd Hamis-01

Lulua Salim-13

Nassir Nassor-04

Hamad Hatib Saleh-00

Hamis Fakhi Sheame-02

 
Ningekua mimi ndio Huyo Hamad Hatib Salehe, nisingecheka na kima.

Yaani unapata kura sifuri, yaani hakuna mtu aliekuelewa?
 
Subiri ACT ndio wana nguvu huko CDM na CCM wote hawatakiwi Konde.....muda mwalim poa sanaa subiriass
 
Back
Top Bottom