Shaka: Upinzani acheni siasa za Analogia

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
626
1,000
Na mwandishi wetu Tanga.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa rai kwa baadhi ya vyama vya siasa nchini kujitathimini ili viweze kufanya Siasa ya kisayansi na kuacha tabia yao ya kufanya siasa za unajimu na ubashiri.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo jana katika vikao vyake na viongozi na wanachama wa CCM wa Kata za Madanga, Mwera na Pangani Magharibi zote za wilayani Pangani Mkoani hapa ambapo yupo kwa ziara ya siku tatu, ambapo aliwataka wapinzani kuchagua moja kati ya kuamini na kufuata sayansi ya siasa ambayo inahimiza katika kuweka Milano thabiti, kuimarisha oganaizesheni ya chama cha siasa na kujifanyia tathmini ama waendelee kufanya siasa za matukio, utabiri na porojo za kisiasa ambazo zinaleta hamasa ya muda mfupi na kamwe haziviimarishi vyama hivyo.

Shaka amesema kitendo cha hivi karibuni cha baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya upinzani kutumia majukwaa ya kisiasa kupalilia mbegu za ukanda, ukabila na udini hakikubali na hakiendani na hulka na desturi zetu watanzania hivyo amewaomba wananchi kuwapuuza badala yake waendelee na mipango ya shughuli za kujiletea maendeleo.

“Chama Cha Mapinduzi kinalaani vikali kauli zote za uchochezi na ubaguzi kwa kutumia ukabila, ukanda na udini zilizoanza kutolewa na kushamiri kutoka katika vinywa vya baadhi ya viongozi wa upinzani nchini. CCM inaendelea kuamini kuwa tabia hiyo sio utamaduni wa watanzania bali ni uroho na ubinafsi wa kutafuta madaraka kwa nguvu baada ya sera zao kukataliwa na wananchi na kujikuta wakitapatapa kutafuta huruma ambayo hawastahili kabisa” alisema Shaka.

Katibu Mwenezi amekumbusha wosia wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipowahi kutuonya kuwa wanasiasa wanaotumia siasa za Kibaguzi, ukanda na ukabila kama hoja ya kusaka kuungwa mkono na kupata madaraka wamefilisika kisiasa na ni watu hatari kwa mustakabali wa amani na mshikamano wa Taifa letu.

“Msingi mkubwa wa ushindi wa chama cha siasa ni maandalizi ya kimkakati, mkusanyiko wa takwimu na matumizi ya sera bora kama nyenzo muhimu inayokipatia ushindi chama cha siasa, wajifunze kwa CCM ambapo viongozi wake tumeshuka chini kabisa mashinani, hii ndio tofauti yetu na vyama vyingine CCM hubadilika kulingana na mahitajio ya nyakati husika na sio kuigawa jamii ili kupata huruma ya kabila fulani ama dini fulani ili kushika dola” alisema Shaka

Hata hivyo Shaka akizungumzia ziara hiyo katika mashina amesema wameamua kushuka chini ili kutekeleza matakwa ya Katiba ya CCM ibara 21 na 22 zinazoelezea kuwa shina ndio msingi mkuu wa chama hicho hivyo kuna kila haja ya kuimarisha uhai wa CCM kuanzia ngazi ya chini kabisa ambayo ni shina.

“Pamoja na kuimarisha ngazi ya mashina ili kukiongezea nguvu za kisiasa Chama Cha Mapinduzi lakini pia tutapata nafasi ya kuisimamia Serikali kwa kukagua miradi ya maendeleo iliyo katika hatua mbalimbali ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025, vile vile ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa katika Mkutano Mkuu maalum mwishoni mwa mwezi Aprili, 2021. Kwa maelekezo hayo tumefanya ziara Mkoa wa Tanga ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo leo hii atakuwa wilaya ya Kilindi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga yeye atakuwa wilaya ya Mkinga mkoani Tanga” alifafanua Shaka.

Shaka amewataka watanzania wote kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ili iendeleze kazi kubwa ya kuijenga nchi yetu na kuifikisha mbali zaidi kimaendeleo.
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
4,597
2,000
Nadhani huyo Shaka alikuwa ananyonya au alikuwa bado hajazaliwa kipindi Cha kampeni , Mwendazake alikuwa anasema mkinichagulia mbunge au Diwani wa upinzani sipeleki maendeleo, kwani wapinzani wametuchelewesha sana.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
budget

Member
Feb 23, 2015
40
125

IMG-20210612-WA0091.jpg
 
SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
341
1,000
Na Mwandishi wetu,
Tanga.

IMG-20210612-WA0077.jpg
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
17,100
2,000
Hawa bavicha bhana!

Wananamini sasa hivi watapita kama upepo kwenda ikulu maana mbaya wao alikuwa mwenda zake
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
28,207
2,000
CCM inaendelea kuamini kuwa tabia hiyo sio utamaduni wa watanzania bali ni uroho na ubinafsi wa kutafuta madaraka kwa nguvu baada ya sera zao kukataliwa na wananchi na kujikuta wakitapatapa kutafuta huruma ambayo hawastahili kabisa” alisema Shaka.
Huyu naye kichekesho. Utamaduni wa watanzania ni Kuiba Uchaguzi, kueka, kuua, kubambikia kesi, , kupoteza, kukiuka Katib na sheria, etc etc. Nyani kweli huyu haoni ku.... le
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
6,438
2,000
Hawa bavicha bhana!

Wananamini sasa hivi watapita kama upepo kwenda ikulu maana mbaya wao alikuwa mwenda zake
Soma historia,

Zambia 1991 UNIP hakikuamini macho yao.

Kenya 2003, hakuna chama kilichokua jogoo kuzidi KANU lkn wananchi walipochoka ilikuwaje? Moi alikabidhi instruments of power zote.
Unakumbuka Yugoslavia au kichwa chako kinaona Leo tu? Malawi nako unakumbuka mwaka Jana au umeshasahau.

Ghana na Ivory Coast nako umesahau. Read my friend. Wewe unajua dunia Ni Tanzania , Dodoma na Chato tu. Lebanon hata kuisikia hujaisikia.

Wiki ya Jana hujasikia kwamba wapinzania wamechukua madaraka Is rael ama unawaza ubwabwa tu.

Nisikuchoshe na bara Asia
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
17,100
2,000
Soma historia
Zambia 1991 UNIP hakikuamini macho yao.
Kenya 2003, hakuna chama kilichokua jogoo kuzidi KANU lkn wananchi walipochoka ilikuwaje? Moi alikabidhi instruments of power zote...
Aisee.. Hao uliotoa kama mifano hawajahi kuwa wajinga kama hawa wa hapa kwetu!

Kwamba unaanzisha kampeni ya kumpinga msanii kama diamond eti hapo ndio unaiondoa ccm?

Ulizia kama katika hao uliotolea mfano waliwahi kuwa na harakati za kijinga namna hiyo
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,811
2,000
Mpumbavu tu na yeye

Mwasisi wa siasa za chuki ni Magufuli na ndiye anatakiwa kukemewa.

Na yeye ajitathimini kabla ajafanya branda kama za polepole .

Hivi ukiwa mwenezi lazima ufanye kazi zako kwa kuvishambulia vyama vingine bila kukemea uhuni wa chama chako kilichopo madarakani.

Namkumbusha tu alikuwepo nape alikuja kuishia kushikiwa bastola sio na chadema Bali hao hao aliowatetea.

Alikuwepo pole pole amekuja kuonekana si lolote sio chochote.

Dunia uwanja wa fujo hasa kufanya kazi na ccm lazima uwe makini sana.
 
BLUE DOG

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
711
1,000
Eti ki mumbwa koko nocho leo kinabwekea majirani.

Kijamaa cha ovyo sana hiki. Mwenye picha za wale punga wenziwe wa fisiem atuwekee hapa tafadhali
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
41,719
2,000
Aisee.. Hao uliotoa kama mifano hawajahi kuwa wajinga kama hawa wa hapa kwetu!

Kwamba unaanzisha kampeni ya kumpinga msanii kama diamond eti hapo ndio unaiondoa ccm?

Ulizia kama katika hao uliotolea mfano waliwahi kuwa na harakati za kijinga namna hiyo
Mkuu haujadili bajeti tena, au na wewe ni sehemu ya wale watanzania wajinga wasiojua umuhimu wa bajeti?
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,337
2,000
Hakuna rai HAPA,hamtaki futeni vyama vyao siasa, vipo KWA mjibu wa sheria hamtaki kaa mbali RAI kitu gani ? Hatubembelezi , vyama haviko kiuteuzi Yani!! We vipi,Mambo ya ajabu Sana , tumeyaona sana tutayaona Kama mbwai mbwai ,mmetutesa Sana siku zenu zaja Kama ilivyokua KWA mwenda zake japo mama hajitahidi angalau,kubalini fanya siasa Safi , hamtaki acha, yapi tumeyapitia? ACHA zako mwenezi tueshimiane, Kama kuchoka ni mda tumechoka tusitishane rafiki yangu ,tena wakaribu, japo najua hu vizuri, but weka rungu chini ,Maisha haya
Thanks
Na mwandishi wetu Tanga.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa rai kwa baadhi ya vyama vya siasa nchini kujitathimini ili viweze kufanya Siasa ya kisayansi na kuacha tabia yao ya kufanya siasa za unajimu na ubashiri...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom