Rais Samia, Mwigulu hakufai. Watanzania wanamjua Kiongozi anayefaa

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Kabla ya Rais mama hajagusa teuzi wapo baadhi yetu humu walileta nyuzi kutaka watu tuone katika viongozi wanaofaa kuteuliwa na Mama yetu (watakaomfaa)

Jina Mwigulu halikukosa kwa kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa.

Ghafla mama kamteua, kelele nyingi zikapigwa mitandaoni kuwa mama amekosea.

Kosa kubwa la Mwigulu no ujivuni, kutojali maisha ya watu.

Hana tofauti na waliomsurubisha Yesu, walimbebesha limsalaba zito huku wakimcheka.

Leo tunaona watu wanalalamikia maamuzi na kauli za Mwigulu.

MY TAKE:
KATIKA MAWAZIRI WATAKAOMUHARIBIA RAIS WETU NO1 MWIGULU HATUFAI, ANA ROHO YA MWENDAZAKE
 
Hiyo Wizara inataka Mtu makini wa caliba ya Mussa Assad sio huyo Kada.
No.. No! Ukifuatilia kwa makini mawaziri wanasiasa ndio wanafanya vizuri.. Fuatilia tangu tumepata uhuru. Prof. Mussa Assad yupo vizuri lakini sio kwenye position ya uwaziri.
 
Kabla ya Rais mama hajagusa teuzi wapo baadhi yetu humu walileta nyuzi kutaka watu tuone katika viongozi wanaofaa kuteuliwa na Mama yetu (watakaomfaa)
Jina mwigulu halikukosa kwa Kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa

Ghafla mama kamteua, kelele nyingi zikapigwa mitandaoni kuwa mama amekosea
Kosa kubwa la Mwigulu no ujivuni, kutojali maisha ya watu.
Hana tofauti na waliomsurubisha Yesu, walimbebesha limsalaba zito huku wakimcheka.

Leo tunaona watu wanalalamikia maamuzi na kauli za Mwigulu.

MY TAKE
KATIKA MAWAZIRI WATAKAOMUHARIBIA RAIS WETU NO1 MWIGULU
HATUFAI, ANA ROHO YA MWENDAZAKE
Ukisema ana roho ya mwendazake ndiyo unapigia debe
 
Kabla ya Rais mama hajagusa teuzi wapo baadhi yetu humu walileta nyuzi kutaka watu tuone katika viongozi wanaofaa kuteuliwa na Mama yetu (watakaomfaa)

Jina Mwigulu halikukosa kwa kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa.

Ghafla mama kamteua, kelele nyingi zikapigwa mitandaoni kuwa mama amekosea.

Kosa kubwa la Mwigulu no ujivuni, kutojali maisha ya watu.

Hana tofauti na waliomsurubisha Yesu, walimbebesha limsalaba zito huku wakimcheka.

Leo tunaona watu wanalalamikia maamuzi na kauli za Mwigulu.

MY TAKE:
KATIKA MAWAZIRI WATAKAOMUHARIBIA RAIS WETU NO1 MWIGULU HATUFAI, ANA ROHO YA MWENDAZAKE
Rubbish
 
Hivi wewe unachuki gani na Magufuli? Unawezaje kumtofautisha Magufuli na Mh. Samia ambaye ndiye alikuwa mshauri wake wa karibu ambapo kila kitu walipanga na kusimamia pamoja? Unafiki huu ni gharama kubwa sana. Unataka achague wataalam kwa maneno ya Insta, maneno yanayoandikwa na watu wasio na uelewa hata wa maisha yao wenyewe? You are not Serious.

Kama una kampeni zako, zifanye bila kumshirkikisha Mh. Magufli ambaye amekuwa rais wa pekee na mwenye kuona mbali na ambaye dunia nzima wana mtamani.

Ni rais agani katika waliotangulia ambaye alifanya mambo makubwa na kurejesha heshima ya Serikali kwa muda mfupi namna hii hata katika tawala zao za miaka kumi kumi? Kama kuna matatizo ya wawtendaji wake, please ujue kwamba alijitahidi kudhibiti mengi. Na hata hivyo, upungufu wake usifute mema makubwa na zaidi ya nia yake safi aliyokuwa nayo kwa taifa. Ni kichaa pekee ndiye atamlinganisha Magufuli na Awamu ya nne.
 
Kabla ya Rais mama hajagusa teuzi wapo baadhi yetu humu walileta nyuzi kutaka watu tuone katika viongozi wanaofaa kuteuliwa na Mama yetu (watakaomfaa)

Jina Mwigulu halikukosa kwa kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa.

Ghafla mama kamteua, kelele nyingi zikapigwa mitandaoni kuwa mama amekosea.

Kosa kubwa la Mwigulu no ujivuni, kutojali maisha ya watu.

Hana tofauti na waliomsurubisha Yesu, walimbebesha limsalaba zito huku wakimcheka.

Leo tunaona watu wanalalamikia maamuzi na kauli za Mwigulu.

MY TAKE:
KATIKA MAWAZIRI WATAKAOMUHARIBIA RAIS WETU NO1 MWIGULU HATUFAI, ANA ROHO YA MWENDAZAKE
Kwa hii bajeti sijui kama itamuacha salama naona mama anamlia timing
 
Mtoa uzi with all my respect chukua glass ya maji baridi with a piece of lemon,relax na kunywa maji yako.. my President Samia she is doing very well so far,changes will came tumpe muda na ona kwa kipindi kifupi tu all of us we get our voices back!!
 
Una mawazo kama yangu. Assad ni mtu sahihi, sema tu hatujui kutumia rasilimali watu!
Ni mtu sahihi tatizo ni nfumo wa uongizi inatakiwa kabla ya kua waziri awe mwanachama wa ccm jambo ambalo hata yeye mwenyewe Asasad awezi kukubali
 
Una mawazo kama yangu. Assad ni mtu sahihi, sema tu hatujui kutumia rasilimali watu!
Unajua sehemu yenye unyeti kama Wizara ya Afya haitaki upeleke Mwanasiasa

Ile formula ya "Kwenye msitu wa Ndezi ishi kama Ndezi hapo haifai"
 
Mama usisikilize wanaokosoa kulipa Kodi,bajeti ipo vizuri na wazalendo tumejiandaa kulipa kama bajeti iliboelekeza, usifuate maoni ya Hawa wakweoaji wanaomsakama Mwigulu kwani hawana Nia njema nautawalawako. Mbona hawalalamikii vitu mlivovipunguzia Kodi?
 
Jina Mwigulu halikukosa kwa kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa.
Mwingulu anafaa hata kuwa waziri wa mambo ya nje kwa maana jamaa anajua sana kujibu maswali ya papo kwa hapo kwa waandishi wa habari. Hana jazba, papara wala panic.

Alipokuwa waziri wa mambo ya ndani niliwahi kuona TBC alivyoshughulika na suala la watu wa mkoa mmoja wa mpakani (Kigoma au Kagera) waliokuwa wanalalamika kuwa Raia kutoka nchi jirani walikuwa wanakuja na bunduki ziwani kisha kuwapokonya zana zao za uvuvi.

Mwigulu aliwajibu waadhishi wa habari na wananchi kwa umakini mkubwa mno. Jamaa yupo smart sana.

NB: Sina undugu naye na wala hanijui personally but the guy is good upstairs.
 
Back
Top Bottom