Nipe Tano na Wasira - TBC

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Katika hali isiyo ya kawaida kwa TBC, Leo kaalikwa mwanasiasa mkongwe Mzee Wasira katika kipindi cha NIPE TANO. Hakika TBC Leo mmemtendea haki Wasira.

GANGANA umerusha makombora mengi sana ya kisiasa kwa Wasira. Sasa kuna swali inasemekana Tyson aliwahi kumvizia chooni Lissu ili ampige, hili likoje kwa wanaofahamu?
 
TBC labda niwaangali wale wadada watangazaji wa aridhio ,bonge na yule mchaga(__) mmoja mwembamba.
 
KHALID GANGANA UWE UNATUJULISHA UNAPOALIKA WAZEE VIJANA KAMA TYSON ILI TUKUSUKUMIE MASWALI,
Fanya mpango umlete chakubanga POLEPOLE wataweza kweli,HATA wakiungana.wagonganishe na mzee wa ubwabwa NIPE TANO ITAKUEA NIPE GOOOME
 
Huwa simuelewi huyo mzee hadi leo anasubiri uteuzi tu tangu 1975 hadi leo anataka vya bure hivi hajawekeza hata bustani kwani lazima uteuliwe huna lingine kufanya? Yaani hakubali utadhani ana hati miliki
 
Katika hali isiyo ya kawaida kwa TBC, Leo kaalikwa mwanasiasa mkongwe Mzee Wasira katika kipindi cha NIPE TANO. Hakika TBC Leo mmemtendea haki Wasira.

GANGANA umerusha makombora mengi sana ya kisiasa kwa Wasira. Sasa kuna swali inasemekana Tyson aliwahi kumvizia chooni Lissu ili ampige, hili likoje kwa wanaofahamu?
Nimecheka Sana Kama mazuri ,kwamba WASIRA alimvizia mh lissu akiwa chooni ampige

Nafikili move alikua anaenda nayo WASIRA alimvizia lissu ,nimecheka sana, dunia ina mambo
 
Katika hali isiyo ya kawaida kwa TBC, Leo kaalikwa mwanasiasa mkongwe Mzee Wasira katika kipindi cha NIPE TANO. Hakika TBC Leo mmemtendea haki Wasira.

GANGANA umerusha makombora mengi sana ya kisiasa kwa Wasira. Sasa kuna swali inasemekana Tyson aliwahi kumvizia chooni Lissu ili ampige, hili likoje kwa wanaofahamu?
Ndiyo amefanya nini?
 
Back
Top Bottom