Chadema, badilkeni

Chadema, badilkeni

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Bajeti ya nchi imesomwa siku ya Alhamisi na jana katibu mkuu kaichambua kwa kiasi alichoweza ingawa naona ameichambua kisiasa kuliko kihalisia.

Pamoja na mapungufu ya Zitto Kabwe lakini ndiye amekua mchambuzi mpinzani wa mambo muhimu kwa utulivu na kwa kina!.
Niwaombe Chadema wachukue vijana na waunde timu ndogo za kuchambua mambo ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.

Leo tunadai katiba mpya lakini hakuna mkakati hasa wa kuwaonyesha watu wa kawaida mapungufu yaliyopo kwenye katiba inayotumika.
 
Chadema kwa sasa tegemeo lao kubwa ni Sugu. Just imagine Sugu ndio awe mchambuzi wa mambo ya uchumi ktk chama, hapo kuna kuendelea au kurudi nyuma kwa speed ya upepo!!
 
"Sisi kijani tusha pitisha sasa nyie CDM na ACT mtahangaika Sana

Bunge ni imara chini ya Ndugai maendeleo hayana chama ndugu zangu"alisikika mlevi mmoja akisema
 
Back
Top Bottom